Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amekutana na ujumbe wa wafanyabiashara toka nchini Uturuki katika ofisi za Kiuo cha Uwekezaji (TIC). Ujumbe huo ulioongozwa na balozi wa Uturuki nchini Mheshimiwa Ali Davutaglu ulihusisha wafanyabiashara wa sekta za ujenzi, utalii, chakula na viwanda mbalimbali. Wafanyabiashara hao walielezea sifa ya Tanzania …
Soma zaidi »SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuki amewahakikishia wawekezaji kutoka Marekani uwepo wa mazingira rafiki ya uwekezaji nchini kwa kuzingatia mchango wao katika masuala ya uwekezaji. Ametoa kauli hiyo wakati akifungua kongamano la siku moja la kujadili masuala ya kuboresha mazingira ya biashara …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMFUTA MACHOZI MFANYABIASHARA ALIYEZUILIWA BIDHAA ZAKE TANGU 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumlipa fidia mfanyabiashara ambaye bidhaa zake zilishikiliwa na Mamlaka hiyo tangu mwaka 2015 kinyume na taratibu. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Juni 7, 2019 wakati akiongea na wafanyabiashara kutoka wilaya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA WAJADILI FURSA NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NCHINI
Rais John Pombe Magufuli amekutana na wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili wafanyabiashara na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kukuza uchumi kupitia sekta binafsi nchini. Licha ya jitihada zinazoendelea kuleta uboreshaji katika sekta ya biashara, Rais ametaja uwepo wa changamoto mbalimbali kwa pande …
Soma zaidi »SERIKALI KUONDOA VIKWAZO VINAVYOATHIRI UWEKEZAJI NCHINI
Waziri wa Nchini Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Angellah Kairuki amebainisha mkakati maalum wa serikali kupitia utekelezaji wa BLUE PRINT wenye lengo la kuondoa vikwazo na changamoto zinazozuia ukuaji wa uwekezaji na urahisi wa kufanya biashara nchini. Mkakati huo unapendekeza,pamoja na mambo mengine,marekebisho ya sheria mbalimbali,kuondoa urasimu na uratibu mzuri wa …
Soma zaidi »WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA CHINA WAKUTANA KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI NA BIASHARA NCHINI CHINA
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU
TANZANIA NA CHINA ZAJADILI USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KENYA NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mhe. Dan Kazungu mapema katika ofisi zake Jijini Dodoma. Lengo la mazungumzo hayo ilikuwa kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ambavyo Kenya inavyoweza kushirikiana na Tanzania katika masuala ya uwekezaji ambapo …
Soma zaidi »