Vijana wa kijiji cha Chihwindi kata ya Mtumachi, Newala mkoani Mtwara wamefyeka uwanja wa kijiji hicho kwaajili ya ujenzi wa kiwanja hicho cha timu ya kijiji maarufu kwa jina la POCHI NENE. Akizungumzia tukio hilo Ndugu Musa Shaibu, amesema kuwa wamefanya hivyo kwa lengo la kuhamasisha vijana kujitolea kufanya kazi …
Soma zaidi »SERIKALI INAPENDA KUWAHAKIKISHIA KUWA CHANGAMOTO ZA WALEMAVU ZINAFANYIWA KAZI – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza watu wenye ulemavu kutumia fursa zilizopo katika kujikwamua kiuchumi. Makamu wa Rais ameyasema hayo kwenye hafla ya utoaji tuzo ya I CAN kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Foundation, iliyofanyika leo …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MRADI WA UMEME WA MAKAMBAKO – SONGEA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti, Mariamu Ditopile Mzuzuri, imeipongeza Serikali kwa kutekeleza mradi wa umeme wa Makambako- Songea (kV 220) ambao umewezesha Mikoa ya Ruvuma na Njombe kupata umeme wa uhakika kutoka Gridi ya Taifa. Kamati hiyo, imetoa pongezi hizo wilayani Songea, Mkoa …
Soma zaidi »SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI JUU YA MAFUNZO YA KUWAANDAA WATANZANIA KUSHIKA NYADHIFA ZA JUU ZA UONGOZI KATIKA MAKAMPUNI
Jukwaa La Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi Tanzania(CEOrt) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira limekuja na mpango maalum wa kuwawezesha watanzania kushika nyadhifa za juu za Uafisa Mtendaji Mkuu (CEOs) na Ukurugenzi Mtendaji (MDs) katika Makampuni na Taasisi mbalimbali kupitia mafunzo ya kuwajengea …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA, TAARIFA ZA KAMATI
LIVE:KUTOKA BUNGENI, MASWALI KWA WAZIRI MKUU
LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA
LIVE: Bunge la 11, Kikao cha Tano MASWALI na MAJIBU
KAGERA YATENGEWA HEKTA 58,000 KWA AJILI YA VIWANDA
Serikali imeeleza kuwa mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa katika Mkoa wa Kagera ni pamoja na kutenga maeneo ya uwekezaji yenye ukubwa wa hekta 58,000 kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya kusindika na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agro Processing Industries) hususani viwanda vya kusindika nyama, maziwa, asali, ndizi, miwa, …
Soma zaidi »