KAGERA YATENGEWA HEKTA 58,000 KWA AJILI YA VIWANDA

  • Serikali imeeleza kuwa mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa katika Mkoa wa Kagera  ni pamoja na kutenga maeneo ya uwekezaji yenye ukubwa wa hekta 58,000 kwa ajili ya kuanzisha viwanda vya kusindika na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agro Processing Industries) hususani viwanda vya kusindika nyama, maziwa, asali, ndizi, miwa, kahawa na samaki.
  • Hayo yameelezwa Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, alipokua akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalaum Mhe. Halima Bulembo, aliyeuliza mkakati wa Serikali wa kuwa na miradi maalum ya kuondoa umasikini kwa Watu wa Kagera ambao ndio Mkoa pekee unaopakana na nchi nyingi zaidi za EAC na hivyo kuufanya kuwa Mkoa wa kimkakati kibiashara.
  • Alivitaja baadhi ya viwanda hivyo kuwa ni Kagera Fish Co. Ltd na Supreme Perch Ltd vinavyosindika minofu ya samaki, Kagera Sugar Co. Ltd na Amir Hamza Co. Ltd vinavyosindika miwa na kahawa, na Kiwanda cha Mayawa kinachosindika Mvinyo ya Rosella na juisi.
  • ” Kampuni ya Josam imepatiwa eneo lenye ukubwa wa hekta 500 katika ranchi ya Kikulula na tayari imejenga bwawa kwa ajili ya kuvuna maji pamoja na kuanza ufugaji wa ng’ombe wa maziwa wapatao 100 hadi sasa” aliongeza Dkt. Kijaji
  • Dkt. Kijaji alieleza kuwa mkakati wa kutekeleza miradi maalum ya kuondoa umasikini katika Mkoa wa Kagera imeainishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano 2016/2017 – 2020/2021, Mpango Mkakati wa Mpango wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo na Mipango ya Mkoa wa Kagera kwa ujumla.
  • “ Miradi yote ya kiuchumi na kijamii inayotekelezwa na Serikali na Sekta Binafsi katika mkoa wa Kagera, na mikoa mingine ni kwa ajili ya kuondoa  umaskini na kuboresha maisha ya wananchi”, alisema Dkt. Kijaji.
  • Aidha, aliainisha baadhi ya mikakati inayoendelea kutekelezwa na kuratibiwa na Serikali katika mkoa huo kuwa ni pamoja na  kuimarisha usafiri wa majini kwa kukamilisha ujenzi wa meli kubwa itakayotoa huduma ya usafiri na usafirishaji kati ya Bukoba na Mwanza.
  • Dkt. Kijaji aliongeza kuwa Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya barabara kama vile barabara kwa kiwango cha lami ya Kyaka – Bugene (km 59.1), Kagoma – Lusahunga (Km. 154), Ushirombo – Lusahunga (Km. 50).
  • Alizitaja barabara nyngine zinazojengwa katika ukanda huo kuwa ni barabara ya Nyakanazi – Kibondo (km 50), ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 40 pamoja na barabara ya Kyamyorwa – Buzirayombo (km 120).
  • “Kitaanzishwa kiwanda cha kuchakata madini ya bati katika wilaya ya Kyerwa ifikapo Juni, 2021 ambapo Kampuni ya Tanzaplus Minerals na African Top Minerals ltd zimeonesha nia ya kuwekeza katika sekta hiyo na tayari zimeanza kuleta mitambo ya uchenjuaji” aliongeza Dkt. Kijaji
  • Aliutaja mradi mwingine wa sekta ya madini kuwa ni uendelezaji na uwekezaji wa madini ya Nikeli Kabanga katika Wilaya ya Ngara ifikapo Juni mwaka 2021.
  • Mbunge wa Ilolo Mhe. Venance Mwamoto, aliuliza  mpango wa Serikali wa kukarabati barabara za mkoa wa Kagera kwakuwa una viwanda vingi  ili viweze kufikika kwa urahisi na kurahisisha biashara ndani na nje ya nchi.
  • Akijibu swali la nyongeza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.  Atashasta Nditiye alisema kuwa Serikali imeshapeleka fedha katika mkoa huo na tayari imetoa tangazo la kutafuta Wakandarasi kwa ajili ya ukarabati wa barabara hizo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AMPONGEZA BONDIA SALIM MTANGO ALIYESHINDA MKANDA WA DUNIA WA UBO

18 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Pin-up casino https://pin-up.jes-design.ru популярное онлайн-казино и ставки на спорт. Официальный сайт казино для доступа к играм и другим функциям казино для игры на деньги.

  3. Kylian Mbappe https://kylian-mbappe.psg-fr.com Footballeur, attaquant francais. Il joue pour le PSG et l’equipe de France. Ne le 20 decembre 1998 a Paris. Mbappe est francais de nationalite. La taille de l’athlete est de 178 cm.

  4. Latest news about games for Android https://android-games.kz, reviews and daily updates. Read now and get the latest information about the most exciting games

  5. Check out Minecraft kz https://minecraft-kz.kz for the latest news, guides, and in-depth reviews of the game options available. Find the latest information on Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  6. Harry Kane’s journey https://bavaria.harry-kane-cz.com from Tottenham’s leading striker to Bayern’s leader and Champions League champion – this is the story of a triumphant ascent to the football Olympus.

  7. Marcus Lilian Thuram-Julien https://internationale.marcus-thuram-fr.com French footballer, forward for the Internazionale club and French national team.

  8. Explore the remarkable journey of Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior.net, the Brazilian prodigy who conquered the world’s biggest stage with his dazzling skills and unparalleled ambition at Real Madrid.

  9. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  10. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  11. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  12. Привет, друзья!
    Где купить диплом по нужной специальности?
    Мы изготавливаем дипломы любой профессии по доступным ценам. Стоимость может зависеть от выбранной специальности, года получения и университета. Стараемся поддерживать для заказчиков адекватную политику тарифов. Важно, чтобы документы были доступны для большинства граждан.
    Для вас готовы предложить дипломы любой профессии по невысоким тарифам.
    newsofgames.ru/kupit-nastoyashhiy-diplom-rf-v-moskve-ofitsialnoe-oformlenie
    Рады оказаться полезными!.

  13. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  14. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  15. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  16. ванная дизайн интерьера https://dizayn-interera-doma.ru

  17. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *