Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amewasili makao makuu ya Wizara jijini Dodoma na kukabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi. Kitendo hicho kinafuatia kubadilishana wizara baina ya mawaziri hao kufuatia mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Mhe. …
Soma zaidi »JESHI LA POLISI LIJITAFAKARI KWA BAADHI YA MATENDO YAKE – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Machi, 2019 amewaapisha Mawaziri 2, Balozi 1 na kushuhudia Naibu Makamishna wa Polisi 5 wakivishwa vyeo vipya vya Kamishna wa Polisi (CP) na kuapishwa kuongoza Kamisheni za Polisi. Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Balozi Dkt. Augustine Phillip Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na …
Soma zaidi »PROF. KABUDI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA “DEFEND DEFENDERS” GENEVA, USWISI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya “Defend Defenders” Bw. Hassan Shire na Bw. Nicolas Agostini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Geneva nchini Uswisi wakati wa Kikao …
Soma zaidi »PROF. KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA WA HAKI ZA BINADAMU WA UMOJA WA MATAIFA BI. MICHELLE BACHELET JERIA
Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi. Michelle Bachelet Jeria Mjini Geneva, Uswisi. Prof. Kabudi amekutana na Kamishna wakati akihudhuria Kikao cha 40 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea …
Soma zaidi »SERIKALI ITAENDELEA KULINDA NA KUKUZA HAKI ZA BINADAMU -PROF KABUDI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kutekeleza wajibu wake wa kukuza na kulinda haki za binadamu na ustawi wa jamii kama kipaumbele chake na itaendelea kushirikiana na Baraza hilo kuhakikisha haki za binadamu nchini na duniani kote zinadumishwa. Prof. Kabudi …
Soma zaidi »LIVE;RAIS MAGUFULI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA
https://youtu.be/ySsErVpp9_E
Soma zaidi »MAWAZIRI UGANDA NA TANZANIA KUJADILI BOMBA LA MAFUTA GHAFI
Kikao cha Nne cha Mawaziri mbalimbali kutoka Uganda na Tanzania wanaohusika na utekelezaji wa mradi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania kinatarajiwa kufanyika leo jijini Kampala ambapo Mawaziri hao wanatarajiwa kupata taarifa za majadiliano yaliyokuwa yakifanyika kati ya Timu ya Kitaifa ya Majadiliano (GNT) ya …
Soma zaidi »WIZARA YAZINDUA USHIRIKIANO MAMLAKA KUU SEKTA YA SHERIA
Wizara ya katiba na Sheria imezindua ushirikiano wa Mamlaka Kuu za Sheria nchini zitakazokaa pamoja kubainisha uwezo na changamoto zinazoikabili sekta ya sheria nchini na kuzifanyia kazi ili kuongeza ufanisi wa sekta hiyo na hivyo kutoa mchango stahiki kwa taifa. Ushirikiano huo umezinduliwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa …
Soma zaidi »UJENZI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MUSOMA WAENDELEA KWA KASI
Wakazi wa mkoa wa Mara wanatarajia kuondokana na adha ya kufuata huduma za Mahakama Kuu mkoani Mwanza, umbali wa zaidi ya kilometa 200 kutoka mjini Musoma, baada ya ujenzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma kukaribia kukamilika mapema mwakani. Wakizungumza na timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Maji, Wizara ya …
Soma zaidi »LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »