Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na ujumbe wake katika mazungumzo na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi. Michelle Bachelet Jeria na ujumbe wake Mjini Geneva nchini Uswisi Februari 27, 2019

PROF. KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA WA HAKI ZA BINADAMU WA UMOJA WA MATAIFA BI. MICHELLE BACHELET JERIA

  • Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi. Michelle Bachelet Jeria Mjini Geneva, Uswisi.
  • Prof. Kabudi amekutana na Kamishna wakati akihudhuria Kikao cha 40 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea Mjini Geneva-Uswisi.
  • Katika mazungumzo yao Kamishna Bachelet alitaka kujua kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu haki za binadamu nchini hususan haki za kina mama na watoto, makundi maalum na kwa jinsi gani Baraza hilo la Mataifa linaweza kuisaidia Tanzania kuendelea kukuza, kudumisha na kulinda haki za binadamu nchini.
PROF KABUDI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na ujumbe wake (kushoto) wakizungumza na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi. Michelle Bachelet Jeria na ujumbe wake (kulia). Mazungumzo hayo yalifanyika Mjini Geneva nchini Uswisi
  • Akizungumza katika mazungumzo hayo Prof. Kabudi alisema licha ya Serikali kuendelea na mikakati mbalimbali ya kulinda na kukuza haki za wanawake, imeendelea kutoa fursa kwa wanawake kupata nafasi za uongozi wa juu Serikalini na kwenye taasisi mbalimbali za umma ambazo zinawawezesha kushiriki katika utoaji wa maamuzi yenye manufaa kwa nchi.
  • Prof. Kabudi alisema Tanzania inaheshimu uhuru wa vyombo vya habari na uwepo wa vyama vya siasa na demokrasia nchini na kuongeza kuwa mwaka huu inatarajia kufanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafuatiwa na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2020.
  • Prof. Kabudi alimhakikishia Kamishna Bachelet kuwa Tanzania itaendelea na jitihada za kukuza, kuheshimu na kulinda haki za binadamu nchini pamoja na kutekeleza wajibu wake na ahadi zake mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
PROF KABUDI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi na ujumbe wake katika picha ya pamoja na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Bi. Michelle Bachelet Jeria na ujumbe wake baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika Mjini Geneva nchini Uswisi Februari 27, 2019
  • Aidha Prof. Kabudi alielezea jitihada zinazofanwa na Serikali kwenye maeneo ya elimu, afya, mapambano dhidi ya rushwa na dawa za kulevya pamoja na malengo ya kuleta maendeleo nchini.
  • Prof. Kabudi alisema Serikali imeboresha mfumo wa ukusanyaji kodi na hivyo kuiwezesha Serikali kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wake bila ubaguzi.
  • Mhe. Kabudi alimshukuru Kamishna Bachelet kwa ushirikiano uliopo kati ya Ofisi yake na Wizara ya Katiba na Sheria na Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania Mjini Geneva-Uswisi na kwamba Serikali kwa ujumla itaendelea na mazungumzo kuhusu maeneo ambayo wataweza kushirikiana.
  • Ofisi ya Kamishna ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu iliundwa mwaka 1993 ili kusimamia ukuzaji na ulinzi wa haki za binadamu duniani. Ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu pamoja na mambo mengine inazisaidia Serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa kutoa mafunzo na utaalamu kwenye maeneo ya upatikanaji wa haki, mabadiliko ya sheria na masuala ya uchaguzi. Vile vile inazisadia Serikali za Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kutekeleza wajibu walionao kimataifa wa kulinda, kuheshimu na kukuza haki za binadamu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua …

241 Maoni

  1. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  2. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные блоги о недвижимости? Пока нашел https://ggs45.ru

  3. Всем привет! Может кто знает, где почитать полезные блоги о недвижимости? Пока нашел https://glwin.ru

  4. Приветствую. Подскажите, где найти разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://iskrb.ru

  5. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://juzhnybereg24.ru

  6. Приветствую. Может кто знает, где найти полезные блоги о недвижимости? Пока нашел https://klimat-hck.ru

  7. Earvin “Magic” Johnson https://los-angeles-lakers.magicjohnson.biz is one of the most legendary basketball players in history. NBA history.

  8. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  9. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  10. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  11. Всем привет! Может кто знает, где почитать полезные блоги о недвижимости? Пока нашел https://komdizrem.ru

  12. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://glatt-nsk.ru

  13. Andreson Souza Conceicao https://al-nassr.talisca-ar.com known as Talisca, is one of the brightest stars of modern football.

  14. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  15. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  16. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  17. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  18. Сайт https://ps-likers.ru предлагает уроки по фотошоп для начинающих. На страницах сайта можно найти пошаговые руководства по анимации, созданию графики для сайтов, дизайну, работе с текстом и фотографиями, а также различные эффекты.

  19. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  20. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  21. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  22. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  23. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  24. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  25. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  26. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  27. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  28. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  29. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  30. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  31. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  32. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  33. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  34. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  35. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  36. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  37. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  38. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  39. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *