JESHI LA POLISI LIJITAFAKARI KWA BAADHI YA MATENDO YAKE – RAIS MAGUFULI

  • Rais  Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Machi, 2019 amewaapisha Mawaziri 2, Balozi 1 na kushuhudia Naibu Makamishna wa Polisi 5 wakivishwa vyeo vipya vya Kamishna wa Polisi (CP) na kuapishwa kuongoza Kamisheni za Polisi.
RAIS-MAGU-2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Makamishna watano kutoka jeshi la Polisi, Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi, pamoja na Balozi Yahya Simba mara baada ya hafla ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Balozi Dkt. Augustine Phillip Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  • Mhe. Rais Magufuli amemuapisha Mhe. Hassan Simba Yahya kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia. Mhe. Balozi Simba amechukua nafasi ya Mhe. Balozi Abdulrahman Kaniki ambaye amemaliza muda wake.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Dkt. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Aidha, Mhe. Rais Magufuli ameshuhudia Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro akiwavisha cheo cha Kamishna wa Polisi na kuwaapisha, Naibu Makamishna wa Polisi 5.
  • Walioapishwa ni CP – Charles Omari Mkumbo ambaye ameteuliwa kuwa Kamishna wa Intelijensia ya Jinai, CP – Liberatus Materu Sabas aliyeteuliwa kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP – Shabani Mrai Hiki aliyeteuliwa kuwa Kamishna wa Maabara ya Uchunguzi wa Kisayansi, CP – Leonard Paul Lwabuzala aliyeteuliwa kuwa Kamishna wa Fedha na Lojistiki na CP – Benedict Michael Wakulyamba aliyeteuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Utumishi.
  • Akizungumza katika tukio hilo Mhe. Rais Magufuli amewapongeza Mawaziri, Balozi na Makamishna wa Polisi kwa kuteuliwa kwao na amewataka kwenda kutekeleza majukumu yao vizuri  ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko ya kuondoa dosari zilizopo katika maeneo yao ya kazi na kuongeza ufanisi zaidi huku wakiweka mbele maslahi ya Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Mhe. Rais Magufuli amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri linayoifanya lakini ametaka lijitafakari juu ya baadhi ya matukio ambayo yanaacha maswali mengi kwa wananchi juu ya hatua zinazochukuliwa na polisi, na ametolea mfano wa tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji, vitendo vya rushwa, Polisi kuhusishwa na magendo, vitendo vya rushwa na dawa za kulevya, pamoja na hatua zinazochukuliwa dhidi ya Maafisa wa Polisi wanaoshindwa kufanya kazi kwa tija.
Screen Shot 2019-03-04 at 18.16.05
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Yahya Simba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Mhe. Rais Magufuli amemtaka IGP – Simon Sirro kutosita kuwaondoa Maafisa wa Polisi wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kuteua ama kupendekeza Maafisa wapya wenye uwezo wa kufanya kazi vizuri, na pia ametaka Polisi iondokane na utamaduni wa kuwapeleka Makao Makuu ya Polisi Maafisa ambao wanashindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwenye vituo vya kazi wanavyopangiwa.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya hafla ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaa.
  • Hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri, Balozi na Makamishna wa Polisi imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi, Mawaziri na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa Madhehebu ya Dini na Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Maofisa Mbalimbali wa Jeshi kutoka Jeshi la Polisi mara baada ya hafla ya Uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.
  • Viongozi walioapishwa pia wamekula kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa umma kilichoongozwa na Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Mstaafu Harold Nsekela.

Gerson Msigwa

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU

Ad

Dar es Salaam

04 Machi, 2019

Ad

Unaweza kuangalia pia

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE DKT. NDUMBARO AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI TANO HAPA NCHINI

279 Maoni

  1. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  2. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  3. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  4. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  5. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  6. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  7. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  8. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  9. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  10. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  11. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  12. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  13. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  14. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  15. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  16. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  17. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  18. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  19. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  20. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  21. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  22. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  23. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *