Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea nyaraka kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi wakati alipomkabidhi rasmi ofisi baada ya kubadilishana wizara hizo kufuatia mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni na Mhe. Rais. Makabidhiano hayo yamefanyika makao maku ya Wizara yaliyo katika Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM- jijini Dodoma, wakiangalia kushoto kwa prof Kabudi ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju na kulia ni Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga na watumishi wengine wa Wizara

BALOZI MAHIGA AWASILI WIZARANI NA KUKABIDHIWA RASMI OFISI

  • Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amewasili makao makuu ya Wizara jijini Dodoma na kukabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi. Kitendo hicho kinafuatia kubadilishana wizara baina ya mawaziri hao kufuatia mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Mhe. Rais DKt. John Pombe Magufuli Machi tatu mwaka huu.
MAWAZIRI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (watatu kulia) katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (wanne kulia) baada ya kutembelea jengo la Wizara ya Katiba na Sheria lililoko katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambako pia alitumia nafasi hiyo kumkabaidhi jengo hilo kama asehemu ya makabidhiano ya Wizara baina ya Mawaziri hao.
  • Akikabidhi ofisi Prof. Kabudi amewashukuru watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi alichofanya nao kazi na kuwasihi kuendelea kumpa ushirikiano kama huo Balozi Dkt. Mahiga kwani anaamini yale aliyoyaanzisha yataendelezwa na Waziri huyo kwa nguvu zote.
WAZIRI MAHIGA
Waziri wa Katiba na Sheria mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiambatana na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mhe. Prof.Palamagamba Kabudi (nyuma yake) wakisalimiana na watumishi wa Wizara baada ya kuwasili makao makuu ya Wizara UDOM kwa ajili ya kukabidhiana Ofisi baina ya Mawaziri hao kufuatia mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Mhe. Rais hivi karibuni.
  • Prof. Kabudi amesema katika kipindi chake cha uongozi Wizarani  amebadilisha  muundo wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nakutoa ofisi mpya tatu za Mwanasheria Mkuu wa Serikal, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na ana imani kuwa mabadiliko hayo yatatekelezwa kikamilifu chini ya uongozi wa mjenzi mahiri Dkt. Augustine Mahiga.
  • “Mlinipa ushirikiano mkubwa katika kipindi change, niwasihi muendelee hivyo kwani kwa kushirikiana nanyi tulifanikiwa kubadilisha  muundo wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na hivyo kutoa ofisi mpya tatu za Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, natumai kuwa utekelezaji wa majukumu yaliyo mbele yao utakuwa kamilifu chini ya Mhe. Balozi Dkt. Mahiga ambaye ni mjenzi Mahiri kama mtashirikiana vyema,” alisema Prof. Kabudi.
WAZIRI MAHIGA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi Agnela Chang’a baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara jijini Dodoma tangu apishwe kushika nafasi hiyo , huku aliyekuwa Waziri Mhe, Prof. Kabudi na Katibu Mkuu Prof. Mchome wakiangalia.
  • Akizungumza baada ya kukabidhiwa Ofisi Mhe. Balozi Dkt. Mahiga amesema amepokea jukumu hilo kwa mikono miwili na amewashukuru watumishi wa Wizara hiyo kwa mapokezi waliompatia na kuahidi kushirikiana na watumishi wote katika kazi zao na hivyo kuendeleza yale yote ambayo Prof. Kabudi ameyaacha kwa ajili ya kuiletea nchi maendeleo kupitia sekta ya Sheria nchini.
  • “Niwashukuru kwa mapokezi yenu leo hii, nimefarijika kuwa nanyi hapa siku hii kama ambavyo Mhe. Rais alisema siku naapishwa kuwa nisiwe na shaka nimezungukwa na wanasheria mahiri,  niwaahidi kuwa tutashirikiana katika kazi zote ili tuendeleze yale yote ambayo mwanafunzi wangu Prof. Kabudi ameishia,” alisema Balozi Dkt. Mahiga
MAKABIDHIANO
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea nyaraka kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi wakati alipomkabidhi rasmi ofisi baada ya kubadilishana wizara hizo kufuatia mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni na Mhe. Rais. Makabidhiano hayo yamefanyika makao maku ya Wizara yaliyo katika Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM- jijini Dodoma, wakiangalia kushoto kwa prof Kabudi ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju na kulia ni Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga na watumishi wengine wa Wizara
  • Awali mawaziri hao walikabidhiana majengo ya ofisi zao yaliyoko katika Mji wa Serikali Mtumba na baadaye kuja zilizoko Ofisi za Wizara zilizoko Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM ambako walikabidhiana taarifa mbalimbali za Wizara na kuzungumza na watumishi.
  • Makabidhiano hayo yamehudhuriwa na katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria prof. Sifuni Mchome, Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju, Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga na watendaji wengine wa Wizara na taasisi zake waliopo Jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo …

236 Maoni

  1. Привет!
    Мы изготавливаем дипломы любой профессии по выгодным тарифам.
    autogroupe.ru/poluchite-diplom-bez-lishnih-usiliy

  2. Добрый день!
    Купить документ университета вы сможете в нашем сервисе.
    diplomasx24.ru/kupit-diplom-voronezh

  3. Привет!
    Приобрести документ о получении высшего образования вы сможете в нашей компании.
    ast-diplomy24.ru/kupit-diplom-ekaterinbur
    Хорошей учебы!

  4. Здравствуйте!
    Процесс получения диплома стоматолога: реально ли это сделать быстро?
    landik-diploms-srednee.ru/attestat-shkoly В 

  5. Привет!
    Где и как купить диплом о высшем образовании без лишних рисков
    mf.getbb.ru/viewtopic.php?f=28&t=641
    Окажем помощь!.

  6. Добрый день!
    Как быстро и легально купить аттестат 11 класса в Москве
    ratingforex.ru/forum-forex/viewtopic.php?f=18&t=35616&sid=f68caf2cc1c72d393fe7b0bd77673496
    Рады оказать помощь!.

  7. Покупка диплома о среднем полном образовании: как избежать мошенничества?
    ast-diplomas24.ru/kupit-diplom-o-srednem-obrazovanii

  8. Здравствуйте!
    Мы можем предложить документы техникумов, расположенных в любом регионе РФ. Можно заказать диплом от любого учебного заведения, за любой год, указав подходящую специальность и хорошие оценки за все дисциплины. Дипломы и аттестаты делаются на “правильной” бумаге высшего качества. Это дает возможность делать настоящие дипломы, которые невозможно отличить от оригиналов. Документы будут заверены всеми требуемыми печатями и подписями.
    payhip.com/BestNews/blog/news/detalnoe-opisanie-pokupki-dokumentov-v-magazine

  9. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  10. Привет!
    Заказать документ университета вы сможете в нашей компании. Мы предлагаем документы об окончании любых университетов Российской Федерации. Вы получите диплом по любой специальности, любого года выпуска, в том числе документы старого образца.
    ashinova.ru/category-5/t-1747.html#1747
    preceptor.flybb.ru/viewtopic.php?f=13&t=9917
    mirstalkera.4admins.ru/viewtopic.php?f=50&t=2121
    ilovehabbo.bbon.ru/viewtopic.php?id=1564#p28982
    nosnitches.com/create-blog/

  11. Добрый день!
    Заказать документ университета вы имеете возможность в нашей компании.
    ast-diplomy.com/kupit-diplom-o-srednem-obrazovanii

  12. сколько стоит купить диплом о высшем образовании сколько стоит купить диплом о высшем образовании .

  13. купить диплом техникума ссср в кемерово ast-diploms.com .

  14. купить диплом в майкопе diplomasx.com .

  15. Привет!
    Приобрести документ о получении высшего образования вы можете в нашем сервисе.
    diplomasx24.ru/kupit-diplom-o-srednem-obrazovanii
    Хорошей учебы!

  16. Здравствуйте!
    Купить диплом о высшем образовании.
    http://www.ocf.berkeley.edu/~paultkim/50-????-??-?????-???-????/
    Успехов в учебе!

  17. Здравствуйте!
    Приобретение школьного аттестата с официальным упрощенным обучением в Москве.
    Приобрести диплом ВУЗа.
    belconsole.ru/club/user/11870/blog/2140/

  18. Привет!
    Можно ли купить диплом? Основные рекомендации
    landik-diploms-srednee.ru/kupit-diplom-v-omske  

  19. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  20. Добрый день!
    Всё, что нужно знать о покупке аттестата о среднем образовании
    poltavagok.ru/diplom-bez-uchebyi-prosto-i-bezopasno
    Рады оказать помощь!

  21. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  22. Здравствуйте!
    Мы готовы предложить документы техникумов, которые расположены на территории всей России. Вы сможете купить качественный диплом от любого заведения, за любой год, включая документы старого образца СССР. Дипломы и аттестаты делаются на “правильной” бумаге высшего качества. Это дает возможности делать настоящие дипломы, не отличимые от оригинала. Документы будут заверены всеми необходимыми печатями и штампами.
    b98385gb.beget.tech/2024/07/09/otlichnye-ceny-i-prekrasnoe-kachestvo-diplomy-onlayn.html

  23. Здравствуйте!
    Приобрести документ института вы имеете возможность у нас в столице. Мы предлагаем документы об окончании любых ВУЗов России. Вы сможете получить диплом по любой специальности, включая документы СССР. Даем 100% гарантию, что при проверке документа работодателем, никаких подозрений не появится.
    arsenal.listbb.ru/viewtopic.php?f=14&t=463
    pvlt788fz.bloggactif.com/28948850/Решили-узнать-как-приобрести-документы-в-сети-интернет-Ждем-Вас
    jogibaba.com/blogs/225/Купить-диплом-Легко-и-Быстро
    fforum.ixbb.ru/viewtopic.php?id=188#p4066
    farm86.com/blogs/340/Купить-диплом-быстро-и-надежно

  24. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  25. Здравствуйте!
    Купить документ института вы имеете возможность у нас в столице.
    ast-diplomas.com/kupit-diplom-tehnikuma-kolledzha 

  26. Здравствуйте!
    Купить документ ВУЗа вы можете в нашем сервисе.
    diplomyx24.ru/kupit-diplom-sankt-peterburg
    Успехов в учебе!

  27. Привет, друзья!
    Приобрести документ о получении высшего образования можно в нашем сервисе. Мы оказываем услуги по продаже документов об окончании любых университетов Российской Федерации.
    tok-ok-dv.ru/index.php?subaction=userinfo&user=esuvos
    bts.clanweb.eu/profile.php?lookup=37310
    http://www.clean-ace8.com/bbs/board.php?bo_table=free&wr_id=353253
    advanced-retail.a2hosted.com/doku.php?id=diploman
    artem-energo.ru/forums.php?m=posts&q=18312&n=last#bottom

  28. Привет!
    Купить диплом любого ВУЗа.
    itstagram.ru/read-blog/394

  29. Привет, друзья!
    Всё, что нужно знать о покупке аттестата о среднем образовании без рисков
    forum.drustvogil-galad.si/index.php/topic,14420.0.html
    Рады оказаться полезными!

  30. Привет!
    Мы предлагаем дипломы любой профессии по приятным тарифам.
    andreandrose.co.uk/2024/07/14/купить-настоящий-диплом-вуза/

  31. Привет, друзья!
    Мы предлагаем документы техникумов, расположенных на территории всей России. Вы сможете заказать диплом за любой год, указав необходимую специальность и хорошие оценки за все дисциплины. Документы печатаются на “правильной” бумаге высшего качества. Это дает возможности делать государственные дипломы, не отличимые от оригиналов. Они будут заверены необходимыми печатями и штампами.
    http://www.chat-hozn3.com/blogs/13306/%D0%9A%D0%B0%D0%BA-%D0%B2%D0%BE%D0%B7%D0%BC%D0%BE%D0%B6%D0%BD%D0%BE-%D0%B1%D1%83%D0%B4%D0%B5%D1%82-%D0%B1%D1%8B%D1%81%D1%82%D1%80%D0%BE-%D0%B7%D0%B0%D0%BA%D0%B0%D0%B7%D0%B0%D1%82%D1%8C-%D0%B4%D0%B8%D0%BF%D0%BB%D0%BE%D0%BC-%D0%B2-%D0%BE%D0%BD%D0%BB%D0%B0%D0%B9%D0%BD-%D0%BC%D0%B0%D0%B3%D0%B0%D0%B7%D0%B8%D0%BD%D0%B5

  32. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

  33. Привет!
    Мы изготавливаем дипломы психологов, юристов, экономистов и любых других профессий по приятным ценам.
    http://www.elegantbeautyhk.com/купить-диплом-мархи-2/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *