UJENZI WA GATI JIPYA WASHIKA KASI BANDARI YA DSM
Ujenzi wa Gati jipya unazidi kushika kasi katika Bandari ya Dar Es Salaam, ambapo kwa sasa Mkandarasi anaendelea na kazi ya kujenga eneo la kupokelea mizigo kama inavyoonekana kwenye picha.
Soma zaidi »SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MAGARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga, ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la Magara lenye urefu wa mita 84 na barabara za maingilio KM 4. Katibu Mkuu Mwakalinga, amesema kuwa daraja hilo linajengwa na mkandarasi M/s China Railway Seventh Group kwa …
Soma zaidi »SERIKALI KUJENGA VIVUKO VIPYA VIWILI
MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI AIPONGEZA SERIKALI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Katika ziara hiyo Bi. Anne alipata fursa ya kutembelea Stesheni ya reli ya kisasa …
Soma zaidi »MITAMBO YA KUNYANYULIA MIZIGO YA UJENZI WA MRADI WA JN HPP YAZINDULIWA RASMI FUGA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.Atashasta Nditiye amazindua Rasmi Vifaa vya Kunyanyulia Makontena ya Mizigo na Vifaa vizito vya utekelezaji wa ujenzi wa Mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JN HPP). Akizungumza jana katika stesheni ya fuga, Waziri Nditiye alisema kuwa Serikali imenunua vifaa …
Soma zaidi »SADC KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI
Sekretarieti ya Miundombinu ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) inajikita katika kuimarisha na kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa kufanya ukarabari na kuhuisha sekta hiyo hususani sekta ya Bandari, Reli na Anga. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Wa Sekritarieti …
Soma zaidi »KATIBU MKUU SEKTA YA UJENZI AKAGUA UJENZI WA JENGO LA HOSPITALI SONGWE
MKATABA UJENZI DARAJA LA KIGONGO BUSISI WASAINIWA
Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.2, ambao utagharimu jumla ya fedha za kitanzania Bilioni 592. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja …
Soma zaidi »