Maktaba Kiungo: WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

DKT. ABBASI – SERIKALI INAENDELEA NA MAJADILIANO BANDARI YA BAGAMOYO

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Dkt. Abbasi alisema Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania …

Soma zaidi »

WANANCHI WILAYANI LUDEWA WAENDELEA KUANZISHA BARABARA ZA VIJIJINI

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Mh, Edward Haule mei 06/2019 aliongoza Jopo la Viongozi wa kata mbili za Madope na Lupanga pamoja na Wananchi wa Kata hizo kuchimba Barabara ya kuunganisha Vijiji Jirani katika Kata hizo. Barabara hiyo yenye urefu wa zaidi ya kilometa sita licha …

Soma zaidi »

TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU NA USAFIRISHAJI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwele yupo Beijing Nchini China  kuhudhuria Mkutano wa Pili wa One Belt, One Road, Mkutano huo amboa umeandaliwa  na Rais wa China Mhe Xi Jinping na kuudhuriwa na viongozi kutoka nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa Mkutano huo pia umeudhuriwa …

Soma zaidi »

TATIZO LA USIKIVU WA MAWASILIANO MAFIA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI 7

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye (Mb.) amewaahidi wakazi wa Kisiwa cha Mafia kuwa Serikali imejipanga kuboresha mawasiliano katika vijiji vitatu vyenye usikivu hafifu wa mawasiliano ya simu za mkononi. Akizungumza na wananchi wa vijiji vya Miburani, Chunguruma na Banja kisiwani Mafia wakati wa ziara ya kukagua usikivu …

Soma zaidi »