Maktaba Kiungo: WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

TRC KUFUNGA NJIA ZA RELI KWA SAA 72 ILI KUKARABATI RELI YA KATI

Shirika la Reli Tanzania TRC limeanza kukarabati njia ya Reli ya kati ya kutoka Dar Es Salaam mpaka Isaka iliyopo Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga takribani kilomita 970 ili kuimarisha reli hiyo yenye kiwango cha Mitagauge zoezi ambalo lilianza Juni mwaka huu na kutarajia kukamilika mwaka 2020. Katika Utakabati …

Soma zaidi »

MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MFUTO KATIKA MTO NGUYAMI ATAKIWA KUONGEZA KASI YA UJENZI

Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo mara baada ya kukagua barabara ya Iyogwe-Chakwale-Ngilori yenye urefu wa KM 42, wilayani Gairo, Naibu Waziri amesema Serikali imejipanga kuhakikisha madaraja 3 katika barabara hiyo yanakamilika na hivyo kuwezesha shughuli za kiuchumi na uzalishaji kwa wakazi wa eneo hilo.

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL

Rais Dkt.John Magufuli siku 30 Ofisi ya Rais-IKULU, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara pamoja na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kutum kutumia huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Nchini (TTCL)ikiwemo laini, ili kupanua huduma za mawasiliano ya Mtandao wa Kampuni hiyo nchini. …

Soma zaidi »