Inaelezwa kuwa Tanzania inakabiliwa na tatizo la kuwa na watoto wa mitaani na kwa takwimu zilizopo ni kwamba inakadiriwa kuwa na idadi ya watoto 35,919 wanaoishi na kufanya kazi mitaani katika majiji na miji mbalimbali licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali pamoja na Wadau kutokomeza tatizo hilo. Hayo yamebainika wakati …
Soma zaidi »Waziri Mkuu
September, 2021
-
13 September
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA SERIKALI KWA WENYE MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI
Kuna habari zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa Serikali imewataka wafanyabiashara wote wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni walionyang’anywa vifaa vyao na kikosi kazi kilichotumiwa na Serikali wakati wa kuifunga biashara hiyo waende kuchukua vifaa vyao. Habari hiyo imepotosha kauli …
Soma zaidi » -
13 September
KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAPIGWA MSASA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeipiga msasa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kwa kuipatia mafunzo maalumu yenye malengo mbalimbali hasa maslahi ya Taifa. Pamoja na mambo mengine, mafunzo hayo pia yatajikita katika masuala ya Itifaki, mawasiliano ya …
Soma zaidi » -
13 September
RAIS SAMIA AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUWAPANGA WAMACHINGA
Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuwapanga upya Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga, bila kutumia nguvu ili wafanye biashara zao kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Makame Mbarawa (Mb) kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi katika …
Soma zaidi » -
13 September
SERIKALI YATOA SH. BILIONI 49.5 KUIMARISHA SHIRIKA LA POSTA
Na Jonas Kamaleki, Dodoma Serikali imetoa shilingi bilioni 49.5 kuimarisha Shirika la Posta na hadi sasa vituo viwili vinavyotoa huduma za pamoja vimeshaanzishwa Dar es Salaam na Dodoma, kwa awamu hii ya kwanza mikoa 10 itafikiwa ikiwemo vituo 2 Pemba na Unguja, Awamu ya pili itafikia vituo (Mikoa) 17 na lengo …
Soma zaidi » -
13 September
WAZIRI MKUU MAJALIWA: NIMERIDHISHWA NA HATUA YA UJENZI WA RELI YA SGR
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar es Salaam hadi Kilosa, Mkoani Morogoro na kusema kwamba ameridhishwa na hatua ya ujenzi iliyofikiwa. “Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kukamilisha ujenzi wa miradi yote iliyoanzishwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na imani na Serikali …
Soma zaidi » -
13 September
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 12 Septemba, 2021 amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali za uongozi kama ifuatavyo:- Amemteua Mhe. Dkt. STERGOMENA LAWRENCE TAX (Mb), kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Mhe. Dkt. TAX anachukua nafasi ya Marehemu ELIAS JOHN KWANDIKWA. …
Soma zaidi » -
10 September
UINGEREZA IMEIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA, UWEKEZAJI, HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
Uingereza imeipongeza Tanzania kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya biashara, uwekezaji, Haki za Binadamu na Utawala Bora, jambo ambalo limeimarisha ushirikiano baina ya Nchi hizo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameyasema hayo wakati wa mazungumzo kwa njia ya mtandao na …
Soma zaidi » -
10 September
WAZIRI MKENDA AZITAKA BODI NA TAASISI KUHAMASISHA TIJA NA UZALISHAJI WA MAZAO
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) amempongeza Katibu Mkuu wa wizara ya Kilimo Ndg Andrew Massawe kwa kuzisimamia kwa weledi mkubwa Bodi na Taasisi zilizo chini yake hivyo kuendeleza uwajibikaji kuhakikisha kuwa sekta ya kilimo inaendelea kuimarika. Amesema kuwa wananchi wana imani …
Soma zaidi » -
10 September
WAKANDARASI WASISITIZWA KUHESHIMU MIKATABA
Veronica Simba – Tabora Serikali imewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote kuheshimu makubaliano ya utendaji kazi yaliyoafikiwa baina ya pande hizo mbili kupitia mikataba waliyosaini. Wito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo wakati akizungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo Mkoa …
Soma zaidi » -
9 September
DKT. MWIGULU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA MISRI
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewakaribisha Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kuwekeza na kufanya biashara na Tanzania kutokana na uwepo wa mazingira rafiki na fursa za uwekezaji. Waziri nchemba ametoa rai hiyo mjini Cairo Misri, wakati wa Kongamano la Kimataifa la Ushirikiano la Misri (Egypt International …
Soma zaidi » -
9 September
WAZIRI DKT.NDUMBARO AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA KAULI MOJA KUHUSIANA NA BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei za wanyamapori katika biashara uwindaji wa kiutalii Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao ana kwa ana na baadhi ya mawaziri wa Utalii wa nchi za Afrika katika …
Soma zaidi » -
9 September
ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JOHN JINGU GEREZA KUU LA ISANGA DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu amelipongeza Jeshi la Magereza kwa kazi nzuri ya kuhakikisha mahabusu na wafungwa magerezani wanapata usimamizi mzuri na kutatuliwa changamoto zao. Dkt. Jingu ameyasema hayo akiwa katika Gereza Kuu la Isanga Jijini Dodoma ikiwa ni ziara yake …
Soma zaidi » -
8 September
WAZIRI MKUU MAJALIWA: MAWAZIRI SIMAMIENI UJENZI WA OFISI ZENU MJI WA SERIKALI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Makatibu Wakuu wasimamie kikamilifu awamu ya pili ya mpango wa ujenzi wa Mji wa Serikali ulipo Mtumba jijini Dodoma ili ukamilike kwa wakati. Ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Septemba 8, 2021) wakati akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Wakuu …
Soma zaidi » -
8 September
BENKI YA TADB YATOA SH. BIL.281.74 KUENDELEZA KILIMO
Na. Sandra Charles na Regina Frank, WFM, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mikopo yenye jumla ya Shilingi bilioni 281.74 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchini kwa wakulima 1,514,695 vikiwemo vyama vya wakulima 151. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri …
Soma zaidi »