Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 20 Septemba, 2021 ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba dunia na kusisitiza umuhimu wa kutopuuzia juhudi za kukabiliana na janga hilo. “Tuko katika kipindi ambacho wakati tunapambana na athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi bado tunataabika …
Soma zaidi »Waziri Mkuu
September, 2021
-
17 September
SERIKALI YA TANZANIA IMETAKA KUWEPO NA UHURU WA KISERA KWA NCHI ZINAZOENDELEA
Serikali ya Tanzania imetaka kuwepo na uhuru wa kisera kwa nchi zinazoendelea na maskini ili kujihami na athari za uingizwaji uliokithiri wa bidhaa za kilimo hususan kutoka nchi zilizoendelea. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof.Kitila Mkumbo amesema hayo Septemba 16, 2021, katika Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la Nchi …
Soma zaidi » -
16 September
WAMACHINGA – TUPO TAYARI KUPANGWA KWENYE MAENEO RASMI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo September 16 amefanya kikao Cha pamoja na uongozi wa Machinga Mkoa wa Dar es salaam kuhusu njia Bora ya Kuwapanga Machinga Jijini humo. Katika kikao hicho Uongozi wa Machinga umepongeza hatua ya RC Makalla kutumia njia ya shirikishi Jambo lililotoa …
Soma zaidi » -
16 September
SERIKALI YATOA BILIONI 3 KULIPA WATUMISHI WA AFYA WALIOSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19
Na WAMJW – Kibaha, PWANI.Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassani imepitisha fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya malipo kwa watumishi wa sekta ya afya waliosWayuhiriki katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19.Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin …
Soma zaidi » -
16 September
NAIBU WAZIRI MABULA AZINDUA MPANGO KABAMBE MJI WA GEITA
Na Munir Shemweta, GEITA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Mpango Kabambe wa Mji wa Geita 2017-2037 na kuitaka halmashauri ya mji huo kuhakikisha inasimamia utekelezaji wa mpango huo bila kuruka hatu za utekelezaji. Alisema, mkoa wa Geita umebahatika kuwa na shughuli nyingi …
Soma zaidi » -
15 September
SERIKALI YA AHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MKOPO NAFUU WA SHILINGI TRILIONI 1.3 ULIOTOLEWA NA IMF KUKABILIANA NA ATHARI ZA UVIKO -19
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba, amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kukabiliana na athari za Uviko-19 zitasimamiwa kikamilifu ili kuleta tija iliyokusudiwa. …
Soma zaidi » -
15 September
RAIS SAMIA MGENI RASMI TAMASHA LA MICHEZO LA WANAWAKE LA TANZANITE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia Septemba 16 hadi 18, 2021 huku uzinduzi rasmi ukifanyika Jumamosi, Septemba 18. Katibu Mkuu Dkt. …
Soma zaidi » -
15 September
RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS SALVA KIIR WA SUDAN KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe maalum kutoka kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini Balozi Albino Ayuel Aboug, aliyewasilisha Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 15,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Soma zaidi » -
15 September
RAIS SAMIA – RAIS MWANAMKE TUTAMUWEKA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaomba wanawake nchini kushikamana ili kuhakikisha wanamchagua mwanamke kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Rais Samia amesema hayo tarehe 15 Septemba, 2021 wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Demokrasia …
Soma zaidi » -
15 September
HESLB NA TASAF KUWEZESHA WANAFUNZI WA KAYA MASKINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo ameitaka Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii kuendeleza mashirikiano yaliyopo ili kuhakikisha watanzania wahitaji wenye sifa za kujiunga na elimu ya juu wanawezeshwa. Akizungumza katika Hotuba …
Soma zaidi » -
15 September
MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na …
Soma zaidi » -
15 September
SERIKALI KUNUNUA TANI 90,000 ZA MAHINDI KWA WAKULIMA
Waziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda akisisitiza jambo tarehe 14 Septemba 2021 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua zilizochukuliwa kuhusu ununuzi wa mahindi Mwingine pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kwa sasa mahindi yatanunuliwa tani …
Soma zaidi » -
14 September
MABULA AKAGUA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) WILAYANI CHATO MKOANI GEITA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika moja ya nyumba za watumishi wa hospitali ya rufaa ya Kanda- Chato wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo wilayani Chato mkoani Geita tarehe 14 Septemba 202. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya …
Soma zaidi » -
14 September
RAIS SAMIA AZINDUA MKAKATI WA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mpango wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, leo Septemba 14,2021 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa …
Soma zaidi » -
14 September
WAZIRI JAFO AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MUONGOZO WA USAFISHAJI MITO JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo akiongea na Kikosi kazi cha usimamiaji na utekelezaji wa muongozo wa usafishaji mchanga kwenye Ofisi za NEMC Makao Makuu Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani …
Soma zaidi »