Katika utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Wizara ya Madini Tanzania Bara na Wizara ya Nishati, Maji na Madini ya Zanzibar, timu ya wataalamu kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendelea na shughuli za utafiti katika Visiwa vya Pemba. Utafiti huo unalenga kuchunguza rasilimali …
Soma zaidi »SERIKALI YA TANZANIA NA SEKTA BINAFSI YAFANYA MKUTANO WA KIHISTORIA KATIKA MINING INDABA: KUBORESHA UWEKEZAJI NA KUKUZA SEKTA YA MADINI NCHINI TANZANIA.
Wakati Serikali ya Tanzania na Sekta Binafsi kupitia Chemba ya Migodi Tanzania wakishiriki kwa mara ya kwanza kwa pamoja katika Mkutano wa Mining Indaba nchini Afrika Kusini, wametumia nafasi hiyo kukaa kikao na kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuboresha mazingira ya uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania. Kikao hicho …
Soma zaidi »Tanzania Kushiriki Mkutano Wa MINING INDABA 2024 AFRICA Kusini
Waziri ya Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameipongeza Bodi ya Wakurugezi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kwa kulisimamia vema shirika hilo na kulifanya ling’are kwa kuwa moja ya mashirika ya umma yaliyopiga hatua kiasi cha kutoa gawio la Sh bilioni nane kwa Serikali.
DKT. BITEKO AWATAKA WAFANYABIASHARA WA MADINI KUSAJILI MIKATABA NA WABIA WAO TUME YA MADINI
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza na wafanyabiashara wa madini katika Soko Kuu la Dhahabu Mkoani Geita leo Oktoba 6, 2021. (Picha na Steven Nyamiti-WM). Na Steven Nyamiti- WM Wafanyabiashara wa madini wametakiwa kuingia mikataba na wabia wao kwa mujibu wa sheria na kuhakikisha mikataba hiyo inasajiliwa katika ofisi …
Soma zaidi »KUANZISHWA KWA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI CHA GGR KUCHANGAMSHA UCHUMI WA GEITA -WAZIRI BITEKO
Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Geita, tarehe 8 Mei 2021. Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akiweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha …
Soma zaidi »GST – WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WANACHUKUA SAMPULI ZA UCHUNGUZI KIHOLELA
Na. Projestus Binamungu Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Mtwara juu ya namna bora ya uchukuaji wa sampuli za uchunguzi na uchenjuaji wa madini, kama sehemu ya kuwawezesha wachimbaji hao kufanya shughuli zao kisasa na kisayansi …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa mbalimbali za Mapambo alipotembelea maonesho ya Shughuli za Madini katika Kongamano la kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2021 lenye lengo la kutangaza fursa za Uwekezaji katika Sekta za Madini ziliopo Nchini na kuwaunganisha …
Soma zaidi »WAZIRI WA MADINI AKUTANA NA UONGOZI MPYA WA KAMPUNI YA TANZAM 2000
Na Greyson Mwase Waziri wa Madini, Doto Biteko leo tarehe 20 Januari 2021 amekutana na uongozi mpya wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya TANZAM 2000 jijini Dodoma uliofika kwa lengo la kujitambulisha. Kikao hicho pia kimeshirikisha Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa, Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara …
Soma zaidi »MGOGORO WA WACHIMBAJI WADOGO IGAE KONGWA WATATULIWA NA NAIBU WAZIRI WA MADINI
Naibu Waziri wa Madini Prof. Shukrani Manya, wa pili, akitoka kukagua eneo la Mgodi wa Mlima Igae Suguta unaomilikiwa na kikundi cha Wachimbaji Wadogo wa Hapa Kazi Tu, wilayani Kongwa Mgogoro wa kugombania shimo la Madini eneo la Mlima Igae katika Kijiji cha Suguta Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma lenye …
Soma zaidi »