Makamu wa Rais

June, 2020

 • 2 June

  KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA UZALISHAJI WA GESI ASILIA LINDI NA MTWARA

   Na Zuena Msuya, Mtwara Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miundombuni ya uchimbaji, uchakataji na usafirishaji wa gesi asilia katika  Mikoa ya Lindi na Mtwara. Mhandisi Zena alifanya ziara hiyo mwishoni mwa juma kwa kukagua visima vya kuchimba gesi vilivyopo Mnazi …

  Soma zaidi »
 • 2 June

  WAFANYABIASHARA KANDA YA ZIWA WATAKIWA KUZALISHA ZAIDI

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wafanyabiashara wa ukanda wa Ziwa Victoria kuongeza uzalishaji wa bidhaa za samaki, matunda, nyama na mbogamboga ili kuwezesha uwepo wa safari za uhakika za ratiba kwa mashirika ya ndege kutoka nje ya nchi kupitia mkoa wa Mwanza. Akizungumza mara baada …

  Soma zaidi »
 • 2 June

  WATALII WAANZA KUINGIA NCHINI

  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakishuhudia na kuzungumza na baadhi ya watalii waliokuwa wakikamilisha taratibu mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa  KIA.   Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla na Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel wakizungumza na …

  Soma zaidi »
 • 1 June

  WAZIRI HASUNGA ATANGAZA MAZAO YATAKAYOUZWA KWENYE MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

  Serikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani. Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho ambalo limekuwa na mafanikio makubwa kupitia mfumo huo, mazao mengine ni Ufuta ambao utauzwa kwa mfumo huo katika baadhi ya maeneo nchini. Waziri wa Kilimo …

  Soma zaidi »
 • 1 June

  WAZIRI KAMWELWE APOKEA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam. Ukarabati huo umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.09. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa …

  Soma zaidi »
 • 1 June

  MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI, WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE

  Na Zuena Msuya Lindi, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC) itasambaza na kuunganisha bila malipo (bure) miundombinu ya usambazaji wa Gesi asilia kwa matumizi ya majumbani kwa wateja wa awali katika mikoa yote  nchini itayofikiwa na huduma hiyo. …

  Soma zaidi »
 • 1 June

  SERIKALI YATAHADHARISHA ‘TEGESHA’ NYAMONGO

  Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Serikali imewatahadharisha wananchi wa kijiji cha Komarera kata ya Nayamongo Tarime Vijijini mkoani Mara kuacha tabia ya kufanya maendelezo maarufu kama Tegesha katika eneo linalotaka kuchukuliwa na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara kwa shughuli za uchimbaji madini. Tahadhari hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki …

  Soma zaidi »
 • 1 June

  PROF. SHEMDOE -TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI

  Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka Watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za ndani. Prof. Shemdoe aliyasema hayo Mkoani Simiyu alipokuwa katika ziara ya siku moja kutembelea Viwanda katika Mkoa huo. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu na ujumbe wake walipata fursa ya kutembelea …

  Soma zaidi »

May, 2020