Maktaba Kiungo: Wakuu wa Mikoa

RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO CHA KAZI NA RC, RAS, DC, DAS NA DED WOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Magufuli amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kujenga ushirikiano na uhusiano mzuri baina yao ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao. Mhe. Rais …

Soma zaidi »

SERIKALI HAINA MPANGO WA KUONGEZA MIKOA MIPYA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali haina mpango wa kuongeza maeneo ya utawala ikiwemo kuanzisha mikoa mipya na badala yake imejipanga kuimarisha huduma na mahitaji ya miundombinu iliyopo ili kuwaletea maendeleo wananchi. Amezungumza hayo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Namtumbo-Kilimasera-Matemanga-Tunduru yenye urefu wa …

Soma zaidi »

LATE LIVE: “SHULE ZOTE HIZI ZA BINAFSI, KWA HAYA WALIYOKIUKA; KUFIKIA KESHO WIZARA IPATE TAARIFA ZAKE!” – NAIBU WAZIRI MHE. WAITARA

Ni Shile ZOTE BINAFSI ambazo zimeongeza ada kiholela msimu huu wa masomo. Ni Shule zote nchini ambazo zimekiuka maelekezo ya wizara na kuwakaririsha wanafunzi madarasa na kupanga wastani kinyume na utaratibu wa nchi. Ni Shule ambazo zimewalazimisha wanafunzi kulipoti na vitu kadhaa kinyume na maelekezo ya serikali (Kuwalazimisha wanafunzi kwenda …

Soma zaidi »