Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima. Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo. Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho. Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 16, 2018
MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAFIKIA ASILIMIA 42
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa bandari, ujenzi wa magati na kuongeza kina cha kupakia na kupakua mizigo kwenye Bandari ya Dar es Salaam Nditiye amesema kuwa ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maendeleo ya mradi huo …
Soma zaidi »WANANCHI WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KV400 WAANZA KULIPWA FIDIA.
Serikali imeanza kulipa fidia kwa wananchi 4000 waliopisha mradi wa kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400 kutoka Singida hadi Namanga ambapo zoezi la ulipaji fidia litakamilika hivi karibuni. Mradi huo wa kusafirisha umeme wa kV400 kutoka Singida hadi Namanga utaunganisha nchi za Tanzania na Kenya na unafahamika kama …
Soma zaidi »InfoChanyA+ MICHE MILLION 60 YA MITI IMEPANDWA KATIKA MASHAMBA TANZANIA.
Miche milioni 60 ya miti mbalimbali ilipandwa katika mashamba huku miche milioni 30 ikitolewa wananchi na taasisi kwa ajili ya kupandwa Kwa nini tunahitajika kupanda miti? Tupande miti kwani maisha yetu yanategemea sana miti. Miti ni uhai. Tunatakiwa kupanda miti na kuitunza ili ituletee faida. Tupande miti ili tuokoe misitu …
Soma zaidi »