Maktaba ya Kila Siku: October 2, 2018

SERIKALI YANUNUA MASHINE ZA MIONZI ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.74

Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imenunua mashine za Mionzi (digital X-ray) zipatazo kumi zenye thamani ya shilingi bilioni 1.74. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea mashine hizo kwenye Bohari ya Dawa(MSD)  jijini Dar. Waziri Ummy amesema kuwa Serikaki inaendelea kutoa kipaumbele katika …

Soma zaidi »

VIKUNDI VYA BUSTANI KUTOA FURSA ZAIDI ZA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Vikundi vya Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini vimejipanga kutoa elimu itakayohamasisha vijana  na akina Mama  kuchangamkia fursa za kilimo cha umwagiliaji  hasa kwa jamii zinazoishi karibu na vyanzo vya maji mengi yanayoweza kutumika kwenye umwagiliaji. Hayo yamesemwa na  Gudluck Wambwe ambaye ni Mwenyekiti wa Kikundi cha …

Soma zaidi »

WAZIRI JENISTA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha sukari cha Mkulazi (Mbigili) Mkoani  Morogoro kuona maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho kuelekea katika hatua ya kuanza uzalishaji. Akizungumza katika ziara hiyo, Waziri Mhagama amewataka …

Soma zaidi »