Maktaba ya Kila Siku: October 3, 2018

“WAZIRI TIZEBA ANAFANYA KAZI KUBWA”-WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mamia ya wakulima leo tarehe 3 Octoba 2018 katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati akimuwakilisha Rais, John Pombe magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa wakulima Tanzania (MVIWATA), (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mamia ya wakulima wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumzaleo …

Soma zaidi »

MZEE MWINYI: RAIS MAGUFULI MIMI NINA KUHUSUDU KWASABABU UNAFANYA MAMBO MAZURI KWA WANANCHI

Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa aliomba kustaafu kuwa Mdhamini wa Skauti Tanzania ombi ambalo lilikataliwa na Rais Magufuli,na kusema kuwa bado vijana wana mambo mengi ya kujifunza kutoka kwake. Mzee Mwinyi amesema hayo wakati wa kumwapisha Bi. Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu Tanzania …

Soma zaidi »