HAKI ZOTE ZA FIDIA KWA WANANCHI ZITALIPWA – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali italipa fidia kwa wananchi katika maeneo ambayo miradi ya Serikali imepita.

Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Manerumango kwenye uwanja wa shule ya msingi Maneromango wilayani Kisarawe mkoani Pwani.

Ad
MAKAMU WA RAIS AKISALIMIA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za lami Kisarawe mjini, Makamu wa Rais yupo wilayani Kisarawe ikiwa sehemu ya ziara yake ya siku sita ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Pwani.

“Nataka niwahakikishie wananchi wote kila kipande cha ardhi cha mtu kinachochukuliwa kwa ajili ya maendeleo ya Serikali au maendeleo ya Taifa basi kipande kile kitalipiwa fidia tutalipa fidia kwa viwango ambavyo sheria zetu zinaruhusu nataka niwaambie hakuna mtu atanyimwa haki yake, haki zote fidia zote zitalipwa kama inavyopaswa lakini huenda tukachelewa kwa sababu mambo ni mengi na rasilimali tuliyonayo inabidi tuigawe kwa vizuri zaidi” alisema Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais ameupongeza Uongozi na Wananchi wa Wilaya ya Kisarawe kwa kuja na Mpango wa Tokomeza Zero.

Aidha Makamu wa Rais alipokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kituo cha afya Manerumango kutoka benki ya NMB vyenye thamani ya shilingi milioni 15.

MAKAMU WA RAIS AKIZUNGUMZA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za lami Kisarawe mjini, Makamu wa Rais yupo wilayani Kisarawe ikiwa sehemu ya ziara yake ya siku sita ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Pwani.

Katika ziara yake leo, Makamu wa Rais alitembelea mradi wa ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita milioni sita lililopo eneo la Mnarani, alikagua ujenzi wa barabara za lami Kisarawe mjini, pia alitembelea kiwanda cha saruji cha Lucky Cement.

Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya siku sita ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo katika mkoa wa Pwani.

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  TAMISEMI Mhe. Selemeni Jafo mara baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kubeba lita milioni 6 katika eneo la Mnarani Kisarawe.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo aliishukuru serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa jitihada zake za kuboresha miundo mbinu ya maji, umeme na barabara.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

28 Maoni

  1. geinoutime.com
    물론 알폰소 역시 장인 정신을 지닌 사람이다.

  2. geinoutime.com
    그는 마비된 손과 목을 펴고 긴 안도의 한숨을 내쉬었다.

  3. п»їbest mexican online pharmacies
    https://cmqpharma.online/# medicine in mexico pharmacies
    mexican mail order pharmacies

  4. mexico drug stores pharmacies: mexican online pharmacy – medication from mexico pharmacy

  5. buying prescription drugs in mexico online: mexican mail order pharmacies – п»їbest mexican online pharmacies

  6. mexico drug stores pharmacies: best online pharmacies in mexico – medicine in mexico pharmacies
    http://foruspharma.com/# mexican drugstore online
    thecanadianpharmacy online canadian drugstore best canadian online pharmacy

  7. reputable indian online pharmacy Online medicine home delivery india pharmacy

  8. mexico drug stores pharmacies: best online pharmacies in mexico – medicine in mexico pharmacies

  9. safe reliable canadian pharmacy: best canadian pharmacy online – reliable canadian pharmacy reviews
    http://foruspharma.com/# mexican border pharmacies shipping to usa
    indian pharmacies safe online shopping pharmacy india cheapest online pharmacy india

  10. best online pharmacy india top online pharmacy india india pharmacy

  11. https://foruspharma.com/# п»їbest mexican online pharmacies

  12. canadian pharmacy 24 com: trustworthy canadian pharmacy – canadian online drugs

  13. canadian pharmacy meds buy canadian drugs legal canadian pharmacy online

  14. mexican border pharmacies shipping to usa: purple pharmacy mexico price list – mexican mail order pharmacies

  15. buy prescription drugs from india: best india pharmacy – buy medicines online in india
    https://canadapharmast.online/# canada drugs online reviews
    mexico drug stores pharmacies reputable mexican pharmacies online mexico drug stores pharmacies

  16. indian pharmacy online: indian pharmacy paypal – best india pharmacy
    https://canadapharmast.online/# canadian mail order pharmacy
    canadian pharmacy ratings canada drugs online review canadian mail order pharmacy

  17. reputable indian pharmacies: Online medicine home delivery – reputable indian pharmacies

  18. п»їpaxlovid: paxlovid buy – paxlovid price
    http://amoxildelivery.pro/# where to buy amoxicillin 500mg

  19. https://doxycyclinedelivery.pro/# buy doxycycline 50 mg
    paxlovid for sale paxlovid buy paxlovid pharmacy

  20. buy generic ciprofloxacin: buy ciprofloxacin – antibiotics cipro
    http://ciprodelivery.pro/# where can i buy cipro online

  21. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycyline online
    doxycycline 200 mg price vibramycin 100 mg doxycycline order online canada

  22. buy amoxicillin online without prescription: generic amoxicillin – amoxicillin 500mg price canada

  23. https://doxycyclinedelivery.pro/# cost doxycycline 100mg
    buying clomid for sale can you get generic clomid without dr prescription can i order cheap clomid for sale

  24. buy generic ciprofloxacin: cipro 500mg best prices – buy cipro cheap
    http://clomiddelivery.pro/# where to buy clomid without a prescription
    doxycycline 50 mg price doxycycline 100mg uk doxycycline australia cost

  25. cipro online no prescription in the usa: ciprofloxacin 500mg buy online – buy cipro online
    http://ciprodelivery.pro/# where can i buy cipro online

  26. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline cost
    buy cheap amoxicillin online amoxicillin canada price amoxicillin 500 mg purchase without prescription

  27. how can i get cheap clomid for sale: can you buy clomid without prescription – cost cheap clomid no prescription
    http://ciprodelivery.pro/# antibiotics cipro
    order cheap clomid without rx cost generic clomid pills cost of clomid for sale

  28. paxlovid buy: paxlovid for sale – paxlovid pharmacy
    https://doxycyclinedelivery.pro/# buy doxycycline without prescription uk

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *