Rais Mstaafu Kikwete Atunikiwa Tuzo Kwa Kuwapa Kipaumbele Wanawake katika Uongozi. Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement for Economic and Leadership Empowerement Foundation (WAELE), kwa kutambua mchango wake kwa Kuwapa Wanawake Kipaumbele katika Uongozi. Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Waziri …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2018
Serikali Itaendelea Kushirikiana na Kanisa katika Kudumisha Amani na Upendo – Rais Magufuli
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki hapa nchini kuadhimisha Jubilei ya miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara. Misa Takatifu ya maadhimisho ya Jubilei hiyo ambayo imefanyika Bagamoyo Mkoani Pwani ambako Ukristo uliingia mwaka 1868 imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi nchini …
Soma zaidi »LIVE;Rais Magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 150 ya Kanisa Katoliki
Rais Magufuli ahudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 150 ya Kanisa Katoliki hapa nchini. Sherehe za maadhimisho haya zinafanyika Bagamoyo Mkoani Pwani.
Soma zaidi »NIMERIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA SGR – MAJALIWA
Ni baada ya kuhakikishiwa kipande Dar-Morogoro kitakamilika Aprili 2019 badala ya Julai Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na kasi na viwango vya ujenzi wa mfumo wa reli ya kisasa (SGR) inayojengwa na kampuni ya Yapi Merkezi. Amesema kipande cha kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro chenye urefu wa km. …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA MVINYO JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu: Tutahakikisha Wananchi Wote Wanapata Maji
Aagiza vijiji vyenye shida ya maji Bumbuli vibainishwe Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha wananchi katika vijiji vyote nchini wanapata huduma ya maji safi na salama katika jimbo la Bumbuli. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto, Charles Boy afanye utafiti na kubainisha …
Soma zaidi »Bi. MKAPA – Tunaliondoa shirika la NIC katika utaratibu wa ubinafsishaji
Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuliimarisha Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwa kuliondoa katika utaratibu wa ubinafsishaji ambao uliwekwa awali. Hayo yamebainishwa na Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi Susana Mkapa, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, wakati …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
SERIKALI YAMALIZA MGOGORO WA KIWANDA CHAI MPONDE
Serikali imemaliza mgogoro uliodumu kwa miaka mingi kati ya wakulima wa chai wa wilaya za Lushoto na Korogwe na kampuni ya Mponde Tea Estate uliosababisha kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde baada ya kuagiza kiwanda hicho kianze kazi. “Waziri Mwijage na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilomo Prof. Siza …
Soma zaidi »JPM – Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa
“Ninachowaomba nyinyi wasomi na Watanzania wote tuwe wazalendo, tusikubali kutumiwa, tuchape kazi na tushikamane kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa letu” amesisitiza Mhe. Rais Mafuguli. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo katika kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kujadili hali ya uchumi na siasa nchini …
Soma zaidi »