- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutumia Vikosi vyake katika ujenzi wa miradi ya maendeleo.
- Makamu wa Rais ametoa pongezi zake leo wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa nyumba ya makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar katika eneo la Pagali Shehia ya Mkoroshoni Chake Chake Pemba.
- Hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa nyumba ya makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar ni sehemu ya shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Takatifu ambayo kilele chake itakuwa Jumamosi tarehe 12 Januari, 2019.
- “Sote tutakumbuka kuwa wakati wa kupigania uhuru wetu Chama cha Afro Shirazi Party (ASP) kiliwaahidi wananchi wake kuwajengea makaazi bora yenye heshima ya utu. Ahadi za ASP zimerithiwa na Chama cha Mapinduzi na ndio maana leo hii tupo hapa kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la makazi bora ya mwananchi mwenzenu, kiongozi wetu, Makamu wa Pili wa Rais”. Alisema Makamu wa Rais.
- Ujenzi huo wa makazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.6 za kitanzania.
Kwa Upande mwingine Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed amesema Serikali imeweka umuhimu katika kujenga makazi ya watumishi wake pamoja na Ofisi.
Ad
synthroid generic price
what’s the best online pharmacy
azithromycin mexico pharmacy
buy metformin 1000 no rx
reputable indian online pharmacy
lisinopril 2.5 mg
online pharmacy no script synthroid 75
best online pharmacy india
metformin 1000 mg tablets price
azithromycin prices
all in one pharmacy
ez pharmacy
zestril 20
batmanapollo.ru
how can i get synthroid cheap
[url=https://xlyrica.com/]generic lyrica for sale[/url]
[url=https://lyricawithoutprescription.com/]lyrica 10 mg[/url]
dark web link https://mydarkmarket.com/ – dark net dark market list
cheapest canadian pharmacy
https://canadianpharmaceuticalshelp.com/
canada pharmacy reviews