LATE LIVE: “SHULE ZOTE HIZI ZA BINAFSI, KWA HAYA WALIYOKIUKA; KUFIKIA KESHO WIZARA IPATE TAARIFA ZAKE!” – NAIBU WAZIRI MHE. WAITARA

  • Ni Shile ZOTE BINAFSI ambazo zimeongeza ada kiholela msimu huu wa masomo.
  • Ni Shule zote nchini ambazo zimekiuka maelekezo ya wizara na kuwakaririsha wanafunzi madarasa na kupanga wastani kinyume na utaratibu wa nchi.
  • Ni Shule ambazo zimewalazimisha wanafunzi kulipoti na vitu kadhaa kinyume na maelekezo ya serikali (Kuwalazimisha wanafunzi kwenda na michango, vifaa ambavyo si rasmi wala muhimu na faini ambazo hazihusiani na utaratibu wa mitaala nchini)
  • Ni shule ambazo zimelalamikiwa na wazazi kutokana na kuongeza gharama na kunyanyasa watoto kwa kuwarudisha majumbani bila kufuata taratibu na ustaarabu.

Bofya link hii kutazama maelekezo ya Naibu Waziri kwa shule binafsi atakazozitaja.

 

au Bofya link hii..

Ad

Ad

Unaweza kuangalia pia

TUMEDHAMIRIA KUONGEZA WIGO UPASUAJI – DKT. KAJUNGU

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mkoani kilichopo mkoani Pwani katika Halmashuri ya Kibaha Mji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *