Maktaba ya Kila Siku: February 8, 2019

RAIS MSTAAFU JK AONGOZA KIKAO CHA KAZI NA SHIRIKISHO ZA KIUCHUMI AFRIKA

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika nafasi yake ya mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council) jana aliendesha kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Africa. Katika Kikao hicho Mhe. Kikwete alielezea umuhimu wa kuwekeza nguvu za pamoja katika kuutokomeza ugonjwa …

Soma zaidi »

TANZANIA NA KUWAIT ZAJADILI UDHIBITI WA MIPAKA

Serikali ya Tanzania na Nchi ya Kuwait ziko katika mpango maalumu wa kubadilishana uzoefu juu ya udhibiti wa mipaka ikiwa ni juhudi za Tanzania kuimarisha ulinzi katika mikoa yote nchini iliyopo mipakani Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa mazungumzo na …

Soma zaidi »