Madaktari Bingwa wa MOI kwa Kushirikiana na madaktari bingwa kutoka hospitali ya Zydus wakifanya upasuaji wa mgongo kwa njia ya kisasa katika vyumba vya upasuaji MOI.

MOI WAENDESHA KAMBI YA UPANDIKIZAJI WA NYONGA BANDIA NA UPASUAJI WA MGONGO

  • Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikianana hospitali ya Zydus ya nchini India kuanzia leo tarehe 14/02/2019 mpaka tarehe 16/02/2019 zitaendesha kambi maalum ya upandikizaji wa nyonga bandia na upasuaji wa Mgongo kwa njia ya kisasa.
  • Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface amesema Katika kambi hii Madaktari bingwa wa MOI na Zdyus watashirikiana kufanya upasuaji mgumu wa kupandikiza Nyonga bandia pamoja na upasuaji wa mgongo kwa njia ya kisasa lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo madaktari bingwa wa MOI ambapo zaidi ya wagonjwa 6 watafanyiwa upasuaji.
  • “Huu ni muendelezo wa ushirikiano kati ya Taasisi yetu ya MOI na hospitali hii ya Zydus ya nchini Indi, awali tulishirikiana katika kliniki maalum na safari wamekuja kwenye kambi hii ya upasuaji, naamini madaktari Bingwa wetu watapata mbinu mpya na za kisasa ili waendelee kutoa huduma hizo hata baada ya wageni hawa kuondoka” Alisema Dkt Boniface
Madaktari Bingwa wa MOI
Madaktari Bingwa wa MOI kwa Kushirikiana na madaktari bingwa kutoka hospitali ya Zydus wakifanya upasuaji mgumu wa kupandikiza nyonga bandia katika vyumba vya upasuaji MOI
  • Kwa upande wake Mkuu wa kitengo cha Uhusiano wa kimataifa wa hospitali ya Zydus Himanshu Sharma amesema ushirikiano kati ya MOI na Zydus umekuwa wenye mafanikio makubwa toka mwaka jana ambapo wagonjwa wamekuwa wakinufaika kwa kupata huduma kwa kutumia mbinu za kisasa bila ya kusafiri kwenda nje ya nchi.
  • “Tunafurahi kwamba tumepata fursa ya kuwapatia mbinu mpya na za kisasa za upasuaji wenzetu hapa MOI, teknolojia na mbinu za upasuaji zinabadilika kila siku na kwakuwa tunashirikiana, wataalamu wetu wameleta mbinu mpya ambazo tunazitumia kule India, lengo ni kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma kwa mbinu na teknolojia bora hapahapa Tanzania” alisema Bwana Sharma
MKUU WA KITENGO
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Kimataifa wa hospitali ya Zydus bwana Himanshu Sharma akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika vyumba vya upasuaji MOI.
  • Kwa upande wake Daktari Bingwa wa Mifupa wa MOI aliyebobea kwenye upandikizaji wa Nyonga bandia Dkt Violeth Lupondo amsema mbinu wanazopata zitawasadia kuendelea kutoa huduma hizo hata baada ya madaktari kutoka Zydus kuondoka.
  • “Huwa tunafanya kila siku aina hizi za upasuaji lakini huu wa leo ambao tunafanya na wenzetu kutoka Zydus ni wa tofauti na mgumu, tunajifunza mambo mengi kutoka kwao na wao pia wanajifunza kutoka kwetu, ni matarajio yetu wagonjwa wengi zaidi watanufaika” Alisema Dkt Lupondo
  • Hii ni sehemu ya Mkakati wa Taasisi ya MOI wa kuhakiklisha huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa nchini na kwa teknolojia ya kisasa sawa na ile inayotumika kwenye mataifa yalioyoendelea.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

202 Maoni

  1. UFC in Azerbaijan https://ufc.com.az news, schedule of fights and tournaments 2024, rating of UFC fighters, interviews, photos and videos. Live broadcasts and broadcasts of tournaments, statistics.

  2. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  3. Play PUBG Mobile https://pubg-mobile.com.az an exciting world of high-quality mobile battle royale. Unique maps, strategies and intense combat await you in this exciting mobile version of the popular game.

  4. Каталог рейтингов хостингов https://pro-hosting.tech на любой вкус и под любые, даже самые сложные, задачи.

  5. Check out the latest news, guides and in-depth reviews of the available options for playing Minecraft Az https://minecraft.com.az. Find the latest information about Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  6. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  7. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  8. Pin-up Casino https://pin-up.admsov.ru/ is an online casino licensed and regulated by the government of Curacao . Founded in 2016, it is home to some of the industry’s leading providers, including NetEnt, Microgaming, Play’n GO and others. This means that you will be spoiled for choice when it comes to choosing a game.

  9. Pin Up Casino https://pin-up.sibelshield.ru official online casino website for players from the CIS countries. Login and registration to the Pin Up casino website is open to new users with bonuses and promotional free spins.

  10. уличные спортивные комплексы для взрослых https://ploshadka-sport.ru/ .

  11. Открой мир карточных игр в Pin-Up https://pin-up.porsamedlab.ru казино Блэкджек, Баккара, Хило и другие карточные развлечения. Регистрируйтесь и играйте онлайн!

  12. Pin Up https://pin-up.fotoevolution.ru казино, которое радует гемблеров в России на протяжении нескольких лет. Узнайте, что оно подготовило посетителям. Описание, бонусы, отзывы о легендарном проекте. Регистрация и вход.

  13. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  14. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  15. Read the latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike.net.az, watch the most successful tournaments and become the best in the world of the game on the CS2 Azerbaijan website.

  16. Discover exciting virtual football in Fortnite https://fortnite.com.az. Your central hub for the latest news, expert strategies and interesting e-sports reports. Collecting points with us!

  17. Latest news, statistics, photos and much more about Pele https://pele.com.az. Get the latest news and information about football legend Pele.

  18. Mesut Ozil https://mesut-ozil.com.az latest news, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about one of the best football players Mesut Ozil.

  19. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  20. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  21. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  22. Изготовление, сборка и ремонт мебели https://shkafy-na-zakaz.blogspot.com для Вас, от эконом до премиум класса.

  23. Saud Abdullah Abdulhamid https://saud-abdulhamid.real-madrid-ar.com Saudi footballer, defender of the Al -Hilal” and the Saudi Arabian national team. Asian champion in the age category up to 19 years. Abdulhamid is a graduate of the Al-Ittihad club. On December 14, 2018, he made his debut in the Saudi Pro League in a match against Al Bateen

  24. Совсем недавно открылся новый интернет портал BlackSprut (Блекспрут) https://bs2cite.cc в даркнете, который предлагает купить нелегальные товары и заказать запрещенные услуги. Самая крупнейшая площадка СНГ. Любимые шопы и отзывчивая поддержка.

  25. Muhammad Ali https://muhammad-ali.com.az American professional boxer who competed in the heavy weight category; one of the most famous boxers in the history of world boxing.

  26. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  27. Al-Nasr https://al-nasr.com.az your source of news and information about Al-Nasr Football Club . Find out the latest results, transfer news, player and manager interviews, fixtures and much more.

  28. Latest news and information about the NBA https://basketball-kz.kz in Kazakhstan. Hot stories, player transfers and highlights. Watch the NBA world with us.

  29. Зеркала интерьерные https://zerkala-mag.ru в интернет-магазине «Зеркала с подсветкой» Самые низкие цены на зеркала!

  30. Spider-Man https://spiderman.kz the latest news, articles, reviews, dates, spoilers and other latest information. All materials on the topic “Spider-Man”

  31. The latest top football news https://football.sport-news-eg.com today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  32. NHL news https://nhl-ar.com (National Hockey League) – the latest and most up-to-date NHL news for today.

  33. Minecraft news https://minecraft-ar.com, guides and in-depth reviews of the gaming features available in Minecraft Ar. Get the latest information on downloading Minecraft, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  34. Открытие для себя Ерлинг Хааланда https://manchestercity.erling-haaland-cz.com, a talented player of «Manchester City». Learn more about his skills, achievements and career growth.

  35. The fascinating story of the rise of Brazilian prodigy Vinicius Junior https://realmadrid.vinicius-junior-cz.com to the heights of glory as part of the legendary Madrid “Real”

  36. Изготовим для Вас изделия из металла https://smith-moskva.blogspot.com, по вашим чертежам или по нашим эскизам.

  37. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  38. The inspiring story of how talented Kevin De Bruyne https://manchestercity.kevin-de-bruyne-cz.com became the best player of Manchester City and the Belgium national team. From humble origins to the leader of a top club.

  39. Полезные советы и пошаговые инструкции по строительству https://syndyk.by, ремонту и дизайну домов и квартир, выбору материалов, монтажу и установке своими руками.

  40. Lionel Messi https://intermiami.lionel-messi-cz.com, one of the best football players of all time, moves to Inter Miami” and changes the face of North American football.

  41. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  42. The story of Robert Lewandowski https://barcelona.robert-lewandowski-cz.com, his impressive journey from Poland to Barcelona, ??where he became not only a leader on the field, but also a source of inspiration for young players.

  43. Find out how Pedri https://barcelona.pedri-cz.com becomes a key figure for Barcelona – his development, influence and ambitions determine the club’s future success in world football.

  44. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  45. Find out about Alisson https://liverpool.alisson-becker-cz.com‘s influence on Liverpool’s success, from his defense to personal achievements that made him one of the best goalkeepers in the world.

  46. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  47. Star Brazilian striker Gabriel Jesus https://arsenal.gabriel-jesus-cz.com put in a superb performance to lead Arsenal to new heights after moving from Manchester City.

  48. The fascinating story of Marcus Rashford’s ascent https://manchester-united.marcus-rashford-cz.com to glory in the Red Devils: from a young talent to one of the key players of the team.

  49. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *