MAKAMU WA RAIS AFUNGUA WARSHA YA 24 YA UTAFITI (REPOA)

MAKAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa Warsha ya 24 ya Utafiti iliyoandaliwa na Taasisi yaUtafiti wa Masuala ya Umaskini (REPOA) jijini Dar Es Salaam leo April 10,2019.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
MAKAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi na washiriki wakati wa warsha ya 24 ya Utafiti iliyoandaliwa na Taasisi yaUtafiti wa Masuala ya Umaskini (REPOA) jijini Dar es Salaam
MAKAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala mbalimbali iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya Umaskini (REPOA) Warsha hiyo imefunguliwa
REPOA-6
Baadhi ya washiriki wa Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala mbalimbali, wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala mbalimbali iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya Umaskini (REPOA) Warsha hiyo imefunguliwa leo jijini Dar es Salaam
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MIFUKO ISIYOKIDHI VIWANGO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *