Barabara Kuu ya TANZAM sehemu ya Mafinga-Igawa km 138.7 ambayo ukarabati wake wa Ujenzi umekamilika kama inavyoonekana.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MAFINGA-IGAWA (TANZAM HIGH WAY) MARA BAADA YA UJENZI

BARABARA
Barabara Kuu ya TANZAM sehemu ya Mafinga-Igawa km 138.7 ambayo ukarabati wake wa Ujenzi umekamilika kama inavyoonekana.
BARABARA
Barabara Kuu ya TANZAM sehemu ya Mafinga-Igawa km 138.7 ambayo ukarabati wake wa Ujenzi umekamilika kama inavyoonekana.
MAKAMBAKO
Ngoma ya mganda ikitoa burudani katika viwanja vya Polisi Makambako mkoani Njombe mara baada ya ufunguzi wa barabara hiyo
RAIS
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mtwango Makambako wakati akielekea kwenda kufungua mradi wa barabara.
RAIS
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mtwango Makambako wakati akielekea kwenda kufungua mradi wa barabara.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara kuu ya TANZAM sehemu ya Mafinga-Igawa km 138.7 katika sherehe zilizofanyika Wanging’ombe Makambako mkoani Njombe.
RAIS
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara kuu ya TANZAM sehemu ya Mafinga-Igawa km 138.7 katika sherehe zilizofanyika Wanging’ombe Makambako mkoani Njombe.
RAIS
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Makambako mara baada ya kuwasili katika eneo la viwanja vya Polisi Makambako mkoani Njombe.
RAIS
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Makambako mara baada ya kuwasili katika eneo la viwanja vya Polisi Makambako mkoani Njombe.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *