Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa amesema shirika lake limepunguza ajali kubwa za treni kwa asilimia miamoja katika kipindi cha miaka mitatu na nusu na kwamba wanakusudia kuziondoa kabisa hata ajali ndogo kwa kuimarisha miundombinu ya reli. Bw. Kadogosa alisema hatua hiyo inatokana na kuimarisha miundombinu ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2019
NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA MAABARA YA KISASA YA MAFUNZO
Katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani, Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile amezindua maabara ya kisasa itakayotoa mafunzo kwa vitendo kwa wataalamu wa huduma za usingizi na dharura, MUHAS
Soma zaidi »LIVE:RAIS MAGUFULI AKIZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAHINDI
UHAMASISHAJI WA UTAFITI UTAWEZESHA UHIFADHI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Tathimini za uwekezaji katika kutunza mazingira katika nchi ni moja ya kazi muhimu za Ofisi ya tathmini ya Baraza la Kituo cha Kimazingira Duniani (GEF) linalotoa taarifa na matokeo ya jumla ya miradi na utendaji katika ngazi ya kitaifa. Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) ambao ni …
Soma zaidi »LIVE:BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA; MKUTANO WA 15, KIKAO CHA 5
MAJADILIANO JUU YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 MASWALI NA MAJIBU ASUBUHI YA LEO
Soma zaidi »SERIKALI YATENGA FEDHA ZA NDANI KUPELEKA UMEME WA GRIDI KATAVI
Imeelezwa kuwa, Serikali imetenga fedha za ndani, kiasi cha Dola za Marekani milioni 70 kwa ajili ya kazi ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kV 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambayo itawezesha Mkoa wa Katavi kuunganishwa na gridi ya Taifa. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati, …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA IMEIPONGEZA SERIKALI KWA KUWAWEZESHA VIJANA KUPATA UJUZI STAHIKI
Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwawezesha Vijana kupata ujuzi kupitia Programu ya Kukuza Ujuzi inayosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira. Hayo yamesemwa jana na wajumbe wa kamati …
Soma zaidi »