RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA

RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mbeya, Wabunge, Mawaziri, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

 

RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igurusi hawaonekani pichani mara baada ya kuwasili katika eneo hilo akitokea jijini Mbeya.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA jijini Mbeya mara baada ya kuizindua.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chimala Wilayani Mbarali mkoani Mbeya.
RAIS
Mandhhari ya hospitali ya UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA jijini Mbeya mara baada ya kuizindua.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA MKOA YA MAWENI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *