WAZIRI MKUU AJUMUIKA NA WATALII TOKA CHINA KATIKA CHAKULA CHA USIKU

PMO
Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, wakati alipowapokea Watalii zaidi ya 300 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. Tokea kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui na kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kigwangala.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki Prof.Palamagamba Kabudi, akizungumza na watalii waliotoka China wakati alipowapokea Watalii zaidi ya 300 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019.
PMO
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwagalla akizungumza na watalii waliotoka China wakati alipowapokea Watalii zaidi ya 300 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019.
PMO
Watalii tokea nchini China, wakiwa wameshika bendera ya Tanzania, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao, baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019.
PMO
Watalii tokea nchini China, wakiwa wameshika bendera ya Tanzania, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao, baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. kushoto ni He Xiao Ping na Hu Baohua.
PMO
Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa Watalii zaidi ya 300 tokea nchini China, katika Hoteli ya Mount Meru mkoani Arusha, Mei 12.2019.
PMO
Watalii tokea nchini China, wakiwa wameshika bendera ya Tanzania, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao, baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. kushoto ni He Xiao Ping na Hu Baohua.
PMO
Waziri Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa zawadi ya picha ya tingatinga, Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya watalii tokea nchini China, Mei 12.2019.

Msanii wa musiki tokea China Di Na , akiwa amejichanganya na wasanii wa ngoma za asili nchini, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya watalii tokea China, Mei 12.2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE DKT. NDUMBARO AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA NCHI TANO HAPA NCHINI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *