MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO, Mei 15, 2019

B 6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2019. Katikati ni Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni
PMO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2019.
B
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akieleza mikakati ya Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wa mikoa mbalimbali ikiwemo Mtwara, Lindi na Dar es Salaam wanaunganishiwa huduma ya gesi majumbani ili kuchochea maendeleo .
Sehemu ya wageni waliofika Bungeni wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.
SM
Naibu Waziri wa Nishati mhe. Subira Mgalu akisisitiza wakandarasi wote kutekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini (REA) kwa wakati ili kutimiza azma ya Serikali kufikisha umeme kwa wananchi wote Vijijini.
AM
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi leo Bungeni Jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA MKOA YA MAWENI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *