Tanzania imetajwa kuweka historia katika tasnia ya madini baada ya Almasi yenye Karati 512.15 kupatikana hivi karibuni katika eneo la Maganzo Mkoani Shinyanga na kuuzwa kwa jumla ya shilingi Bilioni 3.2. Akizungumza katika mahojiano maalum kuhusiana na madini hayo,Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo amesema kuwa kutokana na kupatikana …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 27, 2019
MRADI WA RELI YA KISASA (SGR), MWAMBA WA CHANGAMOTO ZA USAFIRISHAJI NCHINI
Na. Paschal Dotto-MAELEZO Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza, hatimaye Kigoma na Tanga. Ni dhahiri …
Soma zaidi »RAIS DKT. JOHN MAGUFULI APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE, RAIS HAGE GEINGOB WA NAMIBIA
WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME SAMUNGE NA DIGODIGO WILAYANI NGORONGORO
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewasha umeme katika Vijiji vya Samunge na Digodigo vilivyopo wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha na kumtaka Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini wilayani humo kuongeza kasi zaidi. Akiwa katika ziara ya kazi hivi karibuni, kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme wilayani humo, Waziri Kalemani …
Soma zaidi »SERIKALI YAJIPANGA KUUNGANISHA GESI ASILIA MAJUMBANI NCHI NZIMA
Serikali imesema Mradi wa kuunganisha gesi asilia majumbani ni endelevu na utafanyika katika mikoa yote nchi nzima awamu kwa awamu. Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, alibainisha hayo jana, Mei 25, 2019 jijini Dodoma katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ambayo ililenga kuwajengea …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI BITEKO AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA MADINI
MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI WAZINDULIWA
Serikali imezindua Mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa Vijiji, Wilaya na Mikoa itakayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiwa ni hatua nyingine katika utekelezaji wa mradi huo. Mpango huo umezinduliwa katika Kijiji cha Sojo, Kata ya Igusule, wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora tarehe …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA COMORO
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA IKULU YA PRETORIA NCHINI AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Mei, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, Ikulu Jijini Pretoria. Katika Mazungumzo hayo, Mhe. Rais Magufuli amempongeza Mhe. Rais Ramaphosa kwa kuapishwa kuwa Rais wa Awamu …
Soma zaidi »