Maktaba ya Mwezi: May 2019
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA W.H.O NA MADAKTARI WA KICHINA IKULU ZANZIBAR
OCP NA ETG YAAGIZWA KUWA NA MAGHALA YA KUIFADHIA MBOLEA KUFIKIA JULAI 2019
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeyaagiza makampuni ya Premium Agrochem, OCP na Export Trading Group (ETG) kuhakikisha kwamba ifikapo Julai, 2019 kampuni hizo ziwe na ghala za kuhifadhia mbolea na mawakala wa kusambaza katika mikoa inayotumia mbolea kwa wingi ukiwemo mkoa wa Katavi ili kuondoa changamoto ya upungufu wa mbolea kwa wakulima katika maeneo …
Soma zaidi »WAZIRI BITEKO AFUNGUA SOKO KUU LA MADINI MKOANI MWANZA
Waziri wa Madini, Doto Biteko amefanya uzinduzi wa Soko Kuu la Madini Mwanza na kutumia fursa hiyo kuwahimiza wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kutumia soko hilo kuuzia madini yao na kuachana na tabia ya utoroshaji wa madini. Uzinduzi wa soko hilo unganishi Kanda ya Ziwa umefanyika Mei 08, 2019 katika …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
KAZI YA KUSIMIKA MIFUMO NDANI YA TERMINAL III IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 96.8
Tanzania mpya imedhihirishwa na Ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria (Terminal 3) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Akizungumza na Idara ya Habari Maelezo hivi karibuni Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa uwanja huo kutoka Wakala wa Taifa wa Barabara TANROADS, Mhandisi Barton Komba amesema: …
Soma zaidi »HOSPITALI KUBWA YA KIJESHI YA KIWANGO CHA ”LEVEL 4” KUJENGWA MKOANI DODOMA
Serikali ya Shirikisho la Ujerumani kupitia Mpango wa Kusaidia Majeshi Rafiki imekubali kuongeza kipindi cha kutoa misaada kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 4 zaidi kuanzia mwaka 2021 hadi 2024 ambapo pamoja na mambo mengine itajenga Hospitali kubwa ya Kijeshi yenye kiwango cha “Level 4” …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AITAKA TANESCO KUENDELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea kusambaza umeme vijijini mara wakandarasi wa umeme vijijini wanapomaliza kazi kwa mujibu wa mkataba. Dkt. Kalemani aliyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua kazi ya usambazaji umeme vijijini katika Wilaya za Mpwapwa na Bahi mkoani Dodoma ambapo aliambatana …
Soma zaidi »LIVE: SAFARI YA MWISHO YA DKT MENGI.
SERIKALI YAWALIPA WANANCHI FIDIA BONDE LA MTO RUHILA
Wizara ya Maji imelipa jumla ya Shilingi 1,913,832,491 ikiwa ni fidia kwa wananchi waliokuwa na makazi kando kando ya Bonde la Mto Ruhila ambalo ni chanzo cha maji cha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA). Wananchi hao wamekuwa wakifuatilia malipo yao kwa miaka 15 iliyopita tangu mwaka …
Soma zaidi »