RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU GWAJIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Matokeo ChanyA+ June 3, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 963 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Naibu Waziri Ofisi wa Waziri Mkuu Kazi, Vijana Ajira Anthony Mavunde wakwanza kutoka kushoto. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest