Rotary Club ya Same na Rotary club ya Ames Iowa – USA kuendelea kuwekeza katika miradi ya maji ili kuwezesha wananchi kupata maji safi na salama. Eng. Steve Jones na Eng. Dave Millard kutoka Iowa USA wamefika Same kufuatilia maendeleo ya mradi wa maji unaojengwa kata ya Mhezi kwa ufadhili …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: June 2019
WAFANYABIASHARA WA TANZANIA WAUNGANA NA WENZAO KUTOKA NCHI 54 ZA AFRIKA KATIKA MAONESHE YA BIDHAA ZAO KATIKA SOKO LA CHINA
LIVE: DHIFA YA KITAIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS MAGUFULI KWA MGENI WAKE RAIS FELIX TSHISEKEDI
LIVE:ZIARA YA RAIS FELIX TSHISEKEDI WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO NCHINI TANZANIA
LIVE BUNGENI: UWASILISHWAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2019/2020
CATCH UP: WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKISOMA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI BUNGENI
LIVE IKULU: RAIS DKT MAGUFULI ANAKUTANA NA WABUNIFU WADOGO WA MITAMBO YA KUFUA UMEME
ALIYELAZWA MLOGANZILA SIKU 210 ARUHUSIWA
Mtoto Hillary Plasidius mwenye umri wa miaka 8 aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila kwa muda wa miezi minane na wiki mbili aruhusiwa huku hospitali ikimsamehe gharama za matibabu na kumpatia msaada wa kiti mwendo (wheelchair). Mtoto Hillary alifikishwa Hospitali ya Mloganzila Oktoba 29 mwaka jana akiwa katika hali mbaya …
Soma zaidi »UJENZI WA GATI NAMBA MOJA WAKAMILIKA KATIKA BANDARI YA DAR
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa gati namba moja umekamilika kati ya gati nane zinazotarajiwa kujengwa na kuongeza kuwa ujenzi wa gati namba mbili utakamilika Julai katikati na litakuwa na urefu wa mita 255. Waziri Kamwele amesema hayo leo katika bandari ya Dar es …
Soma zaidi »