MABALOZI WATEMBELEA MRADI WA KUFUA UMEME WA JULIUS NYERERE, RUFUJI

UME 1-01
Waheshimiwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali wakifuatilia uwasilishwaji wa maelezo ya Mradi kutoka kwa Meneja Mradi wa Julius Nyerere Mhandisi Stephen Manda
UME 2 -01
Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere ni muhimu kwa maendeleo ya Afrika, Tanzania tunaingia katika Historia ya Dunia kwa kuwa na Bwawa kubwa kati ya mabwawa makubwa 70 Duniani – Balozi Abdallah Possi, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani.
UME 3-01-01
Mradi wa Kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere utaondoa tatizo la umeme ambalo limekuwa likitukabili muda mrefu, pia kuna fursa za uwekezaji kwenye maeneo ya mradi ambazo zitatufikisha uchumi wa Viwanda –  Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, Balozi wa Tanzania nchini Sweden.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *