TUSIJIDANGANYE WATAWALA WETU WA ZAMANI HAWAWEZI KUGEUKA KWA USIKU MMOJA NA KUWA WAJOMBA ZETU AU WAKOMBOZI WETU KIUCHUMI – RAIS MAGUFULI

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kutafsiri vizuri dhana ya uhuru na kujiepusha na masalia ya fikra za kikoloni za kuamini kuwa watawala wa zamani wa Mataifa ya Afrika ndio wenye uwezo wa kusaidia kusimamia na kuendeleza rasilimali zilipo katika Bara la Afrika.
RA 1-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja, alipowasili kuhutubia Mkutano wa sita Jukwaa la Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 20, 2019
  • Rais Magufuli ametoa wito huo  tarehe 29 Agosti, 2019 Ikulu Jijini Dar es Salaam alipohutubia Mkutano wa 6 wa Jukwaa la Uongozi Afrika unaohudhuriwa na Marais Wastaafu Mhe. Benjamin William Mkapa (Tanzania), Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (Tanzania), Mhe. Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Mhe. Hassan Mohamud (Somalia), Mhe. Hery Rajaonarimampianina (Madagascar), Mabalozi, Wawakilishi wa Kimataifa na washiriki wa Jukwaa la Uongozi Afrika.
RA 3-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi wastaafu katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya Taasisi ya Uongozi baada ya kuhutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam . Agosti 20, 2019
  • Mhe. Rais Magufuli amefafanua kuwa dhana ya uhuru haiwezi kutenganishwa na kujitegemea kwani bila kujitegemea uhuru wa Taifa husika utakuwa mikononi mwa linayemtegemea.
  • “Maana hasa ya kupigania uhuru ilikuwa ni kurejesha rasilimali na hasa maliasili zetu lakini pia kuwa na maamuzi kamili kuhusu namna ya kuzisimamia na kuzitumia kwa manufaa yetu ili kuleta ukombozi wa kiuchumi, na hii ndio maana pekee ya kulinda uhuru wa kisiasa.
RA 4-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Somalia Mhe. Hassan Mohamed alipowasili kuhutubia Mkutano wa Sita wa Jukwaa la Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 20, 2019. Wanaofuatia kulia kwake ni Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo, Rais Mstaafu wa Tanzania wa Awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mhe. Thabo Mbeki na Mfanyabiashara mashuhuri wa Tanzania Bw. Ally Mufuruki
  • Tusijidanganye watawala wetu wa zamani hawawezi kugeuka kwa usiku mmoja na kuwa wajomba zetu au wakombozi wetu kiuchumi, utegemezi huu ndio umeimarisha mizizi na misingi ya ukoloni mamboleo, ni lazima tuamke” amesisitiza Mhe. Rais Magufuli.
RA 5-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijiunga na viongozi wastaafu kukiliza majadiliano wakati wa Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 20, 2019
  • Ametaja sababu ya 2 inayosababisha usimamizi mbaya wa rasilimali za Bara la Afrika kuwa ni tafsiri potofu ya msingi wa maendeleo kwa kudhani fedha ni msingi wa maendeleo hali iliyosababisha viongozi wake kuzunguka katika Mataifa tajiri kuomba misaada na mikopo ambayo inawezekana inatokana na rasilimali za Afrika, badala ya kuelekeza nguvu katika kusimamia na kutumia rasilimali zilizopo huku akisisitiza maneno ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyesema ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
RA 6-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijiunga na viongozi wastaafu kukiliza majadiliano wakati wa Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 20, 2019
  • Sababu nyingine ni ukosefu wa ubunifu na teknolojia ya viwanda ambavyo vitaongeza thamani ya bidhaa za Afrika na kuzalisha ajira, migogoro na hali tete ya kisiasa inayosababishwa na mabeberu wanaotaka kuendelea kutumia maliasili za Afrika kwa manufaa yao, watendaji na viongozi wa Afrika kuingia mikataba mibovu na wawekezaji bila kujali maslahi ya Afrika kutokana na kukosekana kwa uzalendo na uharibifu wa maliasili unaosababishwa na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi.
RA 7-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijiunga na viongozi wastaafu kukiliza majadiliano wakati wa Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 20, 2019
  • Mhe. Rais Magufuli amelipongeza Jukwaa la Uongozi Afrika kwa kuja na kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Usimamizi Bora wa Maliasili kwa ajili ya Mageuzi ya Kijamii na Kiuchumi Afrika” na kubainisha kuwa kauli mbinu hiyo inaonesha umuhimu wa kujenga mifumo mipya ya kusimamia na kutumia rasilimali kwa manufaa ya watu wake.
RA 8-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijiunga na viongozi wastaafu kukiliza majadiliano wakati wa Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam, Agosti 20, 2019
  • Ametaja baadhi ya hatua zilizoanza kuchukuliwa na Tanzania katika kusimamia matumizi bora ya maliasili ili kufikia mageuzi ya kijani na kiuchumi kuwa ni kutunga sheria ya kulinda utajiri na rasilimali za Tanzania ya mwaka 2017, kupitia upya na kurekebisha mikataba ya uchimbaji wa madini isiyokuwa na manufaa kwa Taifa, kuweka msukumo mkubwa katika ujenzi wa viwanda na ukuzaji wa teknolojia ya viwanda na kudhibiti uharibifu wa maliasili za misitu na kulinda baionowai.
RA 10-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 20, 2019
  • Hatua nyingine ni kutekeleza miradi mikubwa ya kuzalisha nishati ya umeme ukiwemo mradi mkubwa wa kujenga Bwawa la Nyerere katika mto Rufiji utakaozalisha megawati 2,115 za umeme, kuongeza maeneo ya uhifadhi kwa kuongeza Hifadhi za Taifa 3 mpya, kudhibiti nidhamu ya watumishi wa umma, kudhibiti ufisadi na ubadhirifu na kwamba matokeo ya hatua hizo yameanza kuonekana.
RA 11-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikaribisha chakula cha mchana na viongozi wastaafu na wageni wengine wakati wa mapumziko ya mchana katika Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam . Agosti 20, 2019
  • Washiriki wa mkutano huo unaofanyika kwa siku 2 wakiwemo Marais Wastaafu wameeleza umuhimu wa viongozi wa Afrika kutoa kipaumbele katika masuala muhimu yanayowahusu na kwa kushirikiana na kubadili mtazamo na fikra za utegemezi.
RA 9-01
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 20, 2019
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

939 Maoni

  1. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  2. Find out how Bruno Guimaraes https://newcastleunited.bruno-guimaraes-cz.com became a catalyst for the success of Newcastle United thanks to his technical abilities and leadership on the field and beyond.

  3. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  4. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

  5. Fascinating event related to this Keanu Reeves helped him in the role of the iconic John Wick characters https://john-wick.keanu-reeves.cz, among which there is another talent who has combat smarts with inappropriate charisma.

  6. Jackie Chan https://peakhour.jackie-chan.cz from a poor boy from Hong Kong to a world famous Hollywood stuntman. The incredible success story of Jackie Chan.

  7. Follow Liam Neeson’s career https://hostage.liam-neeson.cz as he fulfills his potential as Brian Mills in the film “Taken” and becomes one of the leading stars of Hollywood action films.

  8. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  9. The inspiring story of Zendaya’s rise https://spider-man.zendaya-maree.cz, from her early roles to her blockbuster debut in Marvel Cinematic Universe.

  10. An article about the triumphant 2023 Ferrari https://ferrari.charles-leclerc.cz and their star driver Charles Leclerc, who became the Formula world champion 1.

  11. The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.

  12. Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.

  13. Discover exciting virtual football https://fortnite-ar.com in Fortnite. Your central hub for the latest news, expert strategy and exciting eSports reporting.

  14. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-ar.com, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world on CS2 ar.

  15. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  16. Latest boxing news, achievements of Raisol Abbasov https://boxing-ar.com, Tyson Fury fights and much more. It’s all about the boxing ambassador.

  17. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  18. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinyo.com braziliyalik futbolchi, yarim himoyachi va hujumchi sifatida o’ynagan. Jahon chempioni (2002). “Oltin to’p” sovrindori (2005).

  19. Legendary striker Cristiano Ronaldo https://an-nasr.cristiano-ronaldo-fr.com signed a contract with the Saudi club ” An-Nasr”, opening a new chapter in his illustrious career in the Middle East.

  20. Lionel Messi https://inter-miami.lionel-messi-fr.com legendary Argentine footballer, announced his transfer to the American club Inter Miami.

  21. Marcus Lilian Thuram-Julien https://internationale.marcus-thuram-fr.com French footballer, forward for the Internazionale club and French national team.

  22. Manchester City and Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-fr.com explosive synergy in action. How a club and a footballer light up stadiums with their dynamic play.

  23. Latest news on the Vinicius Junior fan site https://vinisius-junior.com. Vinicius Junior has been playing since 2018 for Real Madrid (Real Madrid). He plays in the Left Winger position.

  24. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  25. Welcome to our official website! Go deeper into Paulo Dybala’s https://paulo-dybala.com football career. Discover Dybala’s unforgettable moments, amazing talents and fascinating journey in the world of football on this site.

  26. Coffeeroom https://coffeeroom.by – магазин кофе, чая, кофетехники, посуды, химии и аксессуаров в Минске для дома и офиса.

  27. Прокат и аренда автомобилей https://autorent.by в Минске 2019-2022. Сутки от 35 руб.

  28. Get to know the history, players and latest news of the Inter Miami football club https://inter-miami.uz. Join us to learn about the successes and great performances of America’s newest and most exciting soccer club.

  29. If you are a fan of UFC https://ufc-hoje.com the most famous organization in the world, come visit us. The most important news and highlights from the UFC world await you on our website.

  30. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  31. The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.

  32. Vinicius Junior https://vinicius-junior.org all the latest current and latest news for today about the player of the 2024 season

  33. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  34. From childhood teams to championship victories, the path to success with the Los Angeles Lakers https://los-angeles-lakers.lebron-james-fr.com requires not only talent, but also undeniable dedication and work.

  35. Discover Pierre Gasly’s https://alpine.pierre-gasly.com journey through the world of Formula 1, from his beginnings with Toro Rosso to his extraordinary achievements with Alpine.

  36. The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.

  37. диплом фармацевта с занесением в реестр дистанционного обучения http://diploms-x.com/ .

  38. The history of Michael Jordan’s Chicago Bulls https://chicago-bulls.michael-jordan-fr.com extends from his rookie in 1984 to a six-time NBA championship.

  39. Novak Djokovic’s https://tennis.novak-djokovic-fr.biz journey from childhood to the top of world tennis: early years, first victories, dominance and influence on the sport.

  40. диплом купит заказать ast-diplomas.com .

  41. Привет, друзья!
    Где купить диплом по нужной специальности?
    Купить диплом о высшем образовании.
    http://taran22.ru/author/admin
    Окажем помощь!

  42. Здравствуйте!
    Приобрести диплом о высшем образовании.
    Наша компания предлагает заказать диплом в отличном качестве, неотличимый от оригинала без участия специалистов высокой квалификации со специальным оборудованием.
    Где купить диплом специалиста?
    http://mosfo.getbb.ru/viewtopic.php?f=12&t=804
    Удачи!

  43. Привет!
    Приобрести диплом о высшем образовании.
    Мы предлагаем заказать диплом высочайшего качества, неотличимый от оригинала без участия специалистов высокой квалификации с дорогостоящим оборудованием.
    Где заказать диплом специалиста?
    http://slliver.getbb.ru/viewtopic.php?f=62&t=826
    Успешной учебы!

  44. дипломы детям купить [url=https://ast-diplomas.com/]ast-diplomas.com[/url] .

  45. [u][b] Привет![/b][/u]
    Мы можем предложить дипломы любых профессий по приятным тарифам.
    Мы можем предложить документы ВУЗов, расположенных в любом регионе РФ. Вы можете заказать диплом за любой год, указав необходимую специальность и хорошие оценки за все дисциплины. Дипломы и аттестаты выпускаются на “правильной” бумаге самого высшего качества. Это позволяет делать настоящие дипломы, которые не отличить от оригинала. Они заверяются всеми обязательными печатями и подписями.
    Даем гарантию, что в случае проверки документов работодателями, подозрений не появится.
    [b]Где купить диплом специалиста?[/b]
    [url=http://newsofmebel.ru/kupit-diplom-vozmozhnosti-bez-ogranicheniy]tvoirostov.ru/blogi/diplom_po_tvoim_pravilam_priobreti_obrazovanie_kotoroe_tebe_nuzh/[/url]

  46. Здравствуйте!
    Где купить диплом по нужной специальности?
    Приобрести диплом о высшем образовании.
    http://nelana.ru/thread-117-1-1.html
    Окажем помощь!

  47. купить диплом пищевого ast-diplomas.com .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *