Maktaba ya Kila Siku: October 23, 2019

MIRADI YA KIMKAKATI YA UMEME ITAKAYOFIKISHA MW 10,000 MWAKA 2025 YATAJWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dkt Tito Mwinuka ameeleza kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inalenga kutimiza adhma ya Serikali ya kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka 2025. Taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo ameitoa tarehe 23/10/2019 katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA AALCO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli  amekutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni …

Soma zaidi »

REA KUTOA VYETI MAALUM KWA WAKANDARASI MAHIRI

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), itatoa vyeti maalum kwa wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini, watakaokamilisha kazi kwa wakati na viwango stahiki, ili kuwapa motisha na utambuzi utakaowapa sifa ya kupewa tenda nyingine mbalimbali na Serikali. Hayo yalibainishwa Oktoba 22, 2019 jijini Tanga, na Mwenyekiti wa Kamati ya …

Soma zaidi »