Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Urusi (Russia -Africa Economic Forum) wakimsikiliza Rais wa Urusi, Vladmir Putin wakati alipohutubia mkutano huo kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi chini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Rais wa Urusi, Vladimir Putin akihutubia katika Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Urusi (Russia -Africa Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni (kulia) wakimsikilza Rais wa Urusi, Vladimir Putin wakati alipohutubia katika Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Urusi (Russia -Africa Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa (kulia) wakimsikilza Rais wa Urusi, Vladimir Putin wakati alipohutubia katika Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Urusi (Russia -Africa Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hongereni sana kwa kutuletea kila linalojir huko na picha zenu ni nzur sana pongezi nging na kama wazir wetu mkuu atapata fursa yakuisemea TZ tunaomba mtuletee video
Hongereni sana kwa kutuletea kila linalojir huko na picha zenu ni nzur sana pongezi nging na kama wazir wetu mkuu atapata fursa yakuisemea TZ tunaomba mtuletee video