WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE NCHINI AZERBAIJAN

3-01
Naibu Waziri Mkuu, wa Azerbaijan, Ali Ahmedov kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu huyo iliyopo Baku nchini humo, Oktoba 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu, wa Azerbaijan, Ali Ahmedov (kulia) kwenye Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu huyo iliyopo Baku nchini humo, Oktoba 27, 2019. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi ambaye pia ni Balozi wa Azerbaijan, Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mimwi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Mkutano wa Nchi zisizofungamana na uapande wowote kwenye Kituo cha Mikutano cha Baku nchini, Azerbaijan alikomwakilisha Rais Dkt. John Bombe Magufuli, Oktoba 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

Oni moja

  1. Hapa kazi tu,Tz Kwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *