Rais Dkt. John Magufuli wa pili toka kushoto, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wa kwanza toka kushoto, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa tatu toka kushoto, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wa nne toka kushoto na Rais za Zanznibar Dkt. Ali Mohamed Shein wote wakiwa wameshika kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa "My Life, My Purpose" kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
NIMENUFAIKA SANA KUWA NA MWALIMU KAMA MSHAURI WANGU – RAIS MSTAAFU MKAPA
Matokeo ChanyA+
November 12, 2019
IKULU , MAWASILIANO IKULU , Taarifa Vyombo vya Habari , Taarifa ya Habari , Tanzania MpyA+
911 Imeonekana
Sheikh wa Mkoa Dar Es Salaam Alhad Mussa Salum akiomba dua katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Baba Askofu Jackson Sosthenes wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar Es Salaam, akifanya maombi katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Gerson Msigwa akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Balozi Dkt Modestus Kipilimba wa tatu toka kulia akiwa na Balozi Prof. Benson Bana wakifatilia uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa akizungumza katika uzinduzi wa kitabu chake “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Dkt. John Magufuli wa tatu toka kushoto, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wa pili toka kushoto, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wa nne toka kushoto, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa tano toka kushoto, na Rais za Zanznibar Dkt. Ali Mohamed Shein na wa kwanza toka kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uzinduzi kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Marais Wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Dkt. Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa wakishika kitabu kwa pamoja huku Rais Dkt John Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kitabu mara baada ya kukizindua wanashuhudia nia Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ,Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na Rais za Zanznibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa akisaini moja kitabu chake katika uzinduzi wa kitabu chake “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Dkt. John Magufuli wa pili toka kushoto, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wa kwanza toka kushoto, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa tatu toka kushoto, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wa nne toka kushoto na Rais za Zanznibar Dkt. Ali Mohamed Shein wote wakiwa wameshika kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Dkt. John Magufuli wa pili toka kushoto, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wa kwanza toka kushoto, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa tatu toka kushoto, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wa nne toka kushoto na Rais za Zanznibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakionyesha kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Dkt. John Magufuli wa pili toka kushoto, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wa kwanza toka kushoto, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa tatu toka kushoto, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wa nne toka kushoto na Rais za Zanznibar Dkt. Ali Mohamed Shein wote wakisonyesha kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akipeana mkono na Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa katika uzinduzi wa kitabu chake “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa akizungumza katika uzinduzi wa kitabu chake “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Wageni mbalimbali wakifatilia uzinduzi wa kitabu cha historia ya maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Willam Mkapa kinachoitwa “My Life, My Purpose” kinachoelezea maisha yake tangu alipozaliwa mpaka kuwa wa Rais Tanzania na maisha yake baada ya kustaafu, katika Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano cha Julius Nyerere(JNICC), jijini Dar Es Salaam
Ad
Unaweza kuangalia pia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …