NI MARUFUKU MADALALI KWENYE MAZAO – MHE HASUNGA

  • Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 20 Disemba 2019 amepiga marufuku madalali wa mazao ya kilimo ambao wanatumia nafasi hiyo kuwagalaliza wakulima.
  • Waziri Hasunga amepiga marufuku hiyo wakati akizungumza kwenye mnada wa Kakao uliofanyika kwenye kijiji na kata ya Ikolo iliyopo katika Wilaya ya Kyela wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Mbeya.
  • Amesema kuwa “kumekuwa na wananchi wasiokuwa waaminifu kwa serikali na wakulima wake ambao wanawaibia wakulima maarufu kama Njemke, Butura, na Kangomba hivyo napiga marufuku biashara hiyo na endapo tukiwakamata tutawachukulia hatua za kisheria”
  • Waziri Hasunga amewaagiza wanunuzi hao wa Kakao na mazao mengine kuhakikisha kuwa wanawalipa wakulima fedha zao mara baada ya kukamilika kwa minada ili waweze kupata fursa ya kuandaa mashamba katika kipindi hiki cha msimu wa kilimo.
  • Waziri Hasunga amesema kuwa zao hilo la Kakao litasalia kuuzwa kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani kwani kupitia mfumo huo ambao unasimamiwa chini ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakulima wataendelea kunufaika na mazao yao kwa kupata bei nzuri.
  • Amesema kuwa bado vyama vya ushirika vina matatizo makubwa lakini serikali itaendelea kusimamia kwa weledi vyama hivyo ikiwemo kuchukua hatua za haraka kwa viongozi wa vyama hivyo wanaotumia vibaya nafasi yao kwa kuwaibia wakulima.
    N1-01
    Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua skimu ya Umwagiliaji ya Makwale iliyopo katika kata ya Makwale Wilayani Kyela, leo tarehe 20 Disemba 2019 wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Mbeya.
  • Amevitaka Vyama vikuu vya ushirika wa Kakao kuwa pamoja na kusimamia ubora wa zao hilo lakini pia amesema kuwa vyama hivyo vinapaswa kuendelea kuhamasisha wadau mbalimbali kuanzisha viwanda vya kuchakata Kakao ikiwa ni sehemu muhimu ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuhamasisha sekta ya viwanda.
  • Amesema kuwa Kakao inayolimwa wilayani kyela nchini Tanzania ni miongoni mwa Kakao bora Duniani ambayo ina ubora mzuri kuliko Kakao nyinyine zinazozalishwa katika nchi za Afrika Magharibi.
  • Waziri Hasunga ameshuhudia mnada wa Kakao katika kijiji na kata ya Ikolo ambapo imeuzwa kwa bei ya shilingi 5042 kwa kilo moja ambapo amesisitiza kuwa bei hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa wakulima.
  • Sambamba na hayo Mhe Hasunga amewasihi wakulima kuendelea kulima zao hilo huku akiahidi kuwa serikali kupitia wizara ya kilimo itaendelea kusimamia kwa weledi kuongeza tija na uzalishaji.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KOROSHO WA MKOA WA LINDI NA MTWARA

165 Maoni

  1. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  2. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/contacts в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  3. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  4. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  5. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  6. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  7. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  8. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  9. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  10. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  11. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  12. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  13. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  14. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  15. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *