WAZIRI HASUNGA ASISITIZA ULAZIMA WA KUWA NA VIWANDA VYA MBOLEA NCHINI

  • Serikali imesema kuwa inathamini sana mchango wa Sekta binafsi katika kukuza uchumi kwani ndio chanzo kikubwa cha Pato la Taifa kutokana na mchango wake kupitia kodi, ushuru na tozo mbalimbali.
  • Kilimo ni moja ya Sekta zinazoongoza kwa ushiriki wa sekta binafsi. Wakulima wote ni sekta binafsi. Ukiondoa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), wafanyabiashara wote wa mazao ya Kilimo ni sekta binafsi.
1a-01
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019.
  • Aidha, wauzaji wote wa mbolea isipokuwa kampuni ya mbolea Tanzania (TFC) ni sekta binafsi. Vile vile, viwanda vyote 13 vinavyotengeneza mbolea (Fertilizer) na visaidizi vya mbolea (Fertilizer supplements)  vinamilikiwa na sekta binafsi.
  • Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 3 Disemba 2019 wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la  Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam.
  • Mhe Hasunga amesema kuwa ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo ni dhamira ya serikali kuhakikisha kuwa inaanzisha viwanda mbalimbali nchini huku akisema kuwa kwa Wizara ya Kilimo msukumo maalumu ni kuhakikisha kuwa viwanda vya kuzalisha mbolea vinaanzishwa hapa nchini.
  • Amesema kuwa Tanzania ina viwanda 10 vya mbolea ambavyo hutengeneza virutubisho vya aina mbalimbali kwa ajili ya mimea kama vile (Nitrogen – N, Phosphorus – P, Potassium – K, NP, NK, PK, NPK n.k.)

  • Amesema baadhi ya wafanyabashiara walioko nchini wana mitambo ya kuchanganyia mbolea (Fertilizer Blending) ili kupata aina za virutubisho mahsusi kwa ajili ya mazao (Crop Specific Fertilizer Catalogues) na pia kuwekewa visaidizi vya mbolea kwa ajili ya kurekebisha afya ya udongo (Soil Specific Fertilizer Catalogues).

1c-01
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
  • Amesema kuwa pamoja na kuwepo kwa viwanda vitatu vya visaidizi vya mbolea (Calcium/gypsum n.k.) ambavyo hutumika kurekebisha hali ya  udongo ili mbolea ichukuliwe vizuri na mmea (optimal fertilizer uptake). Hata hivyo, uzalishaji wa viwanda hivi bado ni mdogo na hivyo kutokidhi mahitaji makubwa ya mbolea Nchini kwetu.
  • Ili kuimarisha upatikanaji wa mbolea kwa wakati na kuwa na bei rafiki kwa wakulima ni lazima kuongeza uwezo wa viwanda vya mbolea, viwanda vya visaidizi vya mbolea na mitambo ya kuchanganyia mbolea ili viwe na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya wakulima nchini.
  • Pia amesema inatakiwa kujenga viwanda vipya vya mbolea, viwanda vya visaidizi vya mbolea na mitambo ya kuchanganyia mbolea ili viwe na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya wakulima.

 

  • Zingine ni kuweka mkakati wa miaka mitano wa kupunguza au kuondoa kabisa uagizaji wa mbolea kutoka nje ya nchi; kuweka mkakati wa miaka miaka mitano wa kupunguza bei ya mbolea kwa mkulima kutokana na utengenezaji wa mbolea ndani ya nchi; na Kuweka mkakati wa kuongeza uuzaji wa mbolea nje ya nchi ili kutosheleza mahitaji ya Nchi hizo na kuiongezea Serikali pato la fedha za kigeni.
  • Pia, Taasisi zinazotoa huduma kwenye tasnia ya mbolea (fedha, utafiti, elimu, usafirishaji, nishati, vyama vya ushirika) kuweka mkakati wa kuhakikisha kwamba zinaweka mazingira wezeshi ya uwekezaji katika viwanda vya mbolea.
  • Mhe Hasunga amesema kuwa pamoja na hayo lakini pia Asasi za kiraia (AZAKI) zinatakiwa kuwa mstari wa mbele kufuatilia na kuona kwamba wadau wote wanashiriki katika mchakato wa kuhakikisha viwanda vya mbolea vinakuwepo nchini.
  • Kadhalika amesema kuwa hizi sio zama za kusubiri matamko ya Serikali na kuanza kuyakosoa bila kupendekeza majawabu. AZAKI zinatakiwa kuwa sehemu ya kutafuta majawabu badala ya kutafuta changamoto bila kutafuta au kupendekeza majawabu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3

Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 …

212 Maoni

  1. limo service offered by airporttransferdfw.com for Dallas/Fort Worth International Airport. This service provides travelers with luxurious and stylish transportation options using limousines. Passengers can book this service for a premium and extravagant travel experience, adding an element of elegance to their airport transfers.

  2. Luxury Car Service DFW is the ideal choice for business executives, high-end tourists, and anyone who wants to travel in style

  3. In Washington DC, find wheelchair-accessible car services and group transportation options. Whether you need shuttle services or general transportation, DC offers diverse options to accommodate your needs. Explore group transportation services for seamless travel experiences throughout the capital. KVLIMO offers premium transportation solutions with luxurious limousines and professional chauffeurs, ensuring comfort, style, and reliability.

  4. Discover convenient transportation from Nassau Airport to Warwick Paradise Island with options like airport shuttle services, private transfers, and taxis. Compare costs, explore Warwick Paradise Island transportation choices, and plan your seamless journey for a stress-free arrival at your destination.

  5. Airporttransfernassau.com is the place to find Nassau Airport to The Cove Atlantis transportation and rates. We offer safe, reliable, and professional transportation services from Nassau Airport to The Cove Atlantis for all your needs!

  6. Riu Paradise Island has a white sand Beach and mesmerizing locations if you want to make your day special on the island hire our luxury cars for the trip to Nassau Airport to Riu Paradise Island.

  7. Blue Mountain Airport Taxi ensures smooth travel with services like Pearson Airport taxi to Blue Mountain and Toronto to Blue Mountain bus options. Rely on our expertise for convenient Blue Mountain cabs and enjoy stress-free transportation to your destination.

  8. Woodstock Taxi services offer reliable transportation in Woodstock, Ontario. With a fleet of Woodstock Taxis, we ensure efficient and safe commuting for residents and visitors. Count on us for all your local transportation needs.

  9. Travel with convenience using our Buffalo Taxi Service, providing reliable and efficient transportation options for trips from Buffalo to Toronto, Oakville, Hamilton, Mississauga, Burlington, and more.

  10. Streamline your travel with our O’Hare Airport Pickup/Drop Service. Enjoy hassle-free transportation with our reliable shuttle, limousine, and chauffeur options. From airport transfers to downtown journeys, we ensure comfort and convenience.

  11. Comprehensive ground transport offerings for Teterboro Airport (TEB) include shuttle, taxi, rental, and transfer services, ensuring convenient travel experiences.

  12. Discover convenience with our LAX to Long Beach transportation. Depend on our specialized SNA airport services for a reliable and hassle-free journey between major Southern California hubs.

  13. Dubai Hummer Limo for Dubai Limousine Service, it’s about convenience, a comfortable journey and ultimate class. skip the traffic jams and enjoy the sights and sounds of Dubai from the comfort of a Dubai Hummer Limo as our professionally trained and courteous chauffeurs strive to give you a pleasant ground transportation experience.

  14. Experience luxury and convenience in Dubai with Mercedes Sprinter Dubai’s limo services, offering top-tier limousines and skilled drivers for your exclusive travel needs.

  15. Airport Transfer Dubai (ATD) make sure that your every trip is comfortable

  16. Little Stars Travel specializes in luxury car services in Dubai, boasting a fleet of top-tier vehicles and experienced chauffeurs. They offer premium transportation, ensuring a stylish and comfortable journey for both business and leisure travelers, making Dubai exploration a breeze.

  17. When you’re arranging a journey from Dubai to Abu Dhabi, it’s critical to factor in transportation. Although there are many possibilities, selecting Limo UAE is an excellent decision for multiple reasons. It provides not only a lavish and pleasant environment but also a plethora of advantages that simply can’t be matched by other travel options.

  18. Преимущества теневого плинтуса в декорировании помещения,
    Шаг за шагом инструкция по установке теневого плинтуса,
    Как использовать теневой плинтус для создания уникального интерьера,
    Модные тренды в выборе теневых плинтусов для современного дома,
    Как подобрать цвет теневого плинтуса к отделке стен,
    Безопасность и стиль: почему теневой плинтус – идеальное решение для дома,
    Интересные решения с теневым плинтусом и подсветкой: идеи для вдохновения,
    Как сделать помещение завершенным с помощью теневого плинтуса,
    Интерьер безупречный до мелочей: роль теневого плинтуса в декоре
    плинтус черный алюминиевый плинтус черный алюминиевый .

  19. Незаменимая часть гардероба – тактичные штаны, которые подчеркнут вашу индивидуальность.
    Идеальный вариант для активного отдыха, тактичные штаны обеспечат вам комфорт и свободу движений.
    Надежный пошив и долговечность, сделают тактичные штаны незаменимым атрибутом вашего образа.
    Максимальный комфорт и стильный вид, порадуют даже самого взыскательного покупателя.
    Почувствуйте удобство и стиль в тактичных штанах, порадуют вас надежностью и удобством.
    тактичні жіночі штани тактичні жіночі штани .

  20. Una chica con los mas bajos blonde free live webcams with girls listo y a tu disposicion

  21. эффективно,
    Индивидуальный подход к каждому пациенту, для вашего уверенного улыбки,
    Профессиональное лечение и консультации, для вашего удобства,
    Индивидуальный подход к каждому пациенту, для вашего комфорта и уверенности,
    Эффективное лечение зубов и десен, для вашего комфорта и уверенности,
    Профессиональная гигиена полости рта, для вашего комфорта и удовлетворения,
    Заботливое отношение и внимательный подход, для вашего комфорта и удовлетворения
    стоматологiчна полiклiнiка стоматологiчна полiклiнiка .

  22. Выбирайте коляску Cybex для комфорта вашего ребенка, в магазине.
    Лучшие оферты на коляски Cybex, для самых взыскательных.
    5 причин выбрать именно коляску Cybex для вашего малыша, которые заставят вас влюбиться в этот бренд.
    Коляска Cybex: безопасность и стиль в одном флаконе, которые не оставят вас равнодушными.
    Как выбрать идеальную коляску Cybex для вашей семьи, учитывая все особенности и пожелания.
    Выбирайте коляску Cybex с умом и стилем, исходя из индивидуальных потребностей и предпочтений.
    Почему коляски Cybex так популярны среди родителей, которые ценят комфорт и безопасность.
    Топ-модели колясок Cybex на любой вкус и цвет, которые порадуют вас своим разнообразием и качеством.
    Ключевые моменты, на которые стоит обратить внимание при выборе коляски Cybex, для вашего малыша.
    Выбор коляски Cybex: что важно знать перед покупкой, чтобы сделать правильный выбор.
    Топ-модели колясок Cybex для вашего малыша, которые не оставят вас равнодушными.
    Лучшие модели колясок Cybex для вашей семьи, которые порадуют вас своим качеством и функционалом.
    Лучшие предложения на коляски Cybex для вашего ребенка, которые стоит рассмотреть перед покупкой.
    Почему стоит выбрать именно коляски Cybex, если вы цените качество и комфорт.
    Выбор коляски Cybex для вашего малыша: как не ошибиться, которые ценят надежность и стиль.
    Новинки колясок Cybex, которые стоит рассмотреть, перед совершением покупки.
    Коляска Cybex: безопасность и комфорт для вашего малыша, исходя из личных предпочтений и потребностей.
    Лучшие предложения на коляски Cybex для вашей семьи, которые не оставят вас равнодушными.
    cybex купить https://kolyaskicybex.ru/ .

  23. Самые популярные коляски Tutis, для стильных семей, рекомендации по покупке, Секреты долговечности и надежности коляски Tutis, Лучшее дополнение к вашей коляске от Tutis, аксессуары, которые сделают вашу жизнь проще, секреты успешного выбора, Как правильно ухаживать за коляской Tutis?, Tutis: безопасность вашего малыша превыше всего, правила использования коляски, рекомендации для родителей, советы по выбору, секреты успешного выбора, Что учитывать при выборе коляски Tutis для максимального удобства ребенка, Почему Tutis – выбор стильных родителей, Почему Tutis – надежный партнер для вашей семьи?, поддержка родителей в заботе о ребенке
    коляска tutis купить https://kolyaskatutis.ru/ .

  24. Как выбрать идеальный теневой плинтус
    теневой плинтус цена https://msk-alyuminievyj-tenevoj-plintus.ru/ .

  25. Почему стоит выбрать хостинг в Беларуси бесплатно?, преимущества и особенности.
    Сравниваем лучшие предложения хостинга в Беларуси, советы и рекомендации.
    Выбор профессионалов: топ-3 хостинга в Беларуси бесплатно, оценка и обзор.
    Как перенести сайт на бесплатный хостинг в Беларуси?, шаги и рекомендации.
    Безопасность сайта: SSL на хостинге в Беларуси бесплатно, характеристики и обзор.
    Как создать сайт на бесплатном хостинге в Беларуси?, инструкция и рекомендации.
    Децентрализованный хостинг в Беларуси: перспективы и возможности, характеристики и отзывы.
    Хостинг Беларусь Хостинг Беларусь .

  26. Как музыка влияет на pin up культуру, для погружения в атмосферу
    pin up casinos pin up casinos .

  27. Только качественные товары для военных|Оружие и снаряжение для настоящих мужчин|Специализированный магазин для военных|Спецодежда и обувь для армии|Оружие и аксессуары для профессионалов|Только проверенные боевые товары|Боевая техника для суровых реалий|Купите все необходимое для военной службы|Выбирайте только профессиональное снаряжение|Все для армии и спецслужб|Качественная экипировка для армии|Боевая техника для самых сложных задач|Армейский магазин с высоким уровнем сервиса|Оружие и экипировка для настоящих героев|Выбор профессионалов в военной сфере|Экипировка для защитников Отечества|Только качественные товары для службы в армии|Оружие и снаряжение для успешных миссий|Качественные товары для военных целей|Выбирайте только надежные военные товары
    інтернет магазин військової форми інтернет магазин військової форми .

  28. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinhogaucho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, played as an attacking midfielder and striker. World Champion (2002). Winner of the Golden Ball (2005). The best football player in the world according to FIFA in 2004 and 2005.

  29. Jamal Musiala https://jamal-musiala.prostoprosport-fr.com footballeur allemand, milieu offensif du club allemand du Bayern et du equipe nationale d’Allemagne. Il a joue pour les equipes anglaises des moins de 15 ans, des moins de 16 ans et des moins de 17 ans. En octobre 2018, il a dispute deux matchs avec l’equipe nationale d’Allemagne U16. En novembre 2020, il a fait ses debuts avec l’equipe d’Angleterre U21.

  30. Что нужно знать перед походом к стоматологу, ознакомиться.
    Уникальные методики лечения зубов, профессиональный уход за зубами.
    Как избежать боли при лечении зубов, ознакомиться.
    Что нужно знать о здоровье полости рта, профессиональные советы стоматолога.
    Секреты крепких и белоснежных зубов, советуем.
    Лечение зубов без боли: реальность или миф?, профессиональные методики стоматологии.
    Как избежать неприятного запаха изо рта, предлагаем.
    стоматологія для дітей https://klinikasuchasnoistomatologii.vn.ua/ .

  31. Ederson Santana de Moraes https://edersonmoraes.prostoprosport-br.com Futebolista brasileiro, goleiro do clube Manchester City e da Selecao Brasileira . Participante do Campeonato Mundial 2018. Bicampeao de Portugal pelo Benfica e pentacampeao de Inglaterra pelo Manchester City.

  32. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  33. Выберите стильные тактичные штаны для повседневной носки, для идеального комфорта и функциональности.
    Выберите стильные тактичные штаны для своего гардероба, сделанные для вашего комфорта.
    Как правильно выбрать тактичные штаны, и какие модели стоит обратить внимание.
    Выберите удобные тактичные штаны для своего гардероба, сделанные для динамичного образа жизни.
    Тактичные штаны: выбор современного мужчины, чтобы чувствовать себя комфортно в любой ситуации.
    тактичні штани зимові тактичні штани зимові .

  34. Cristiano Ronaldo https://cristiano-ronaldo.prostoprosport-cz.org je portugalsky fotbalista, utocnik, kapitan Saudske Arabie klubu An-Nasr a portugalskeho narodniho tymu. Mistr Evropy. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob. Nejlepsi strelec v historii fotbalu podle IFFIS a ctvrty podle RSSSF

  35. Pedro Gonzalez Lopez https://pedri.prostoprosport-cz.org lepe znamy jako Pedri, je spanelsky fotbalista, ktery hraje jako utocny zaloznik. za Barcelonu a spanelskou reprezentaci. Bronzovy medailista z mistrovstvi Evropy 2020 a zaroven nejlepsi mlady hrac tohoto turnaje.

  36. Toni Kroos https://toni-kroos.prostoprosport-cz.org je nemecky fotbalista, ktery hraje jako stredni zaloznik za Real Madrid a nemecky narodni tym. Mistr sveta 2014. Prvni nemecky hrac v historii, ktery sestkrat vyhral Ligu mistru UEFA.

  37. Pin Up casino https://pin-up.salexy.kz official website, Pin Up slot machines play for money online, Pin Up mirror working for today.

  38. Sports in Azerbaijan https://idman-xeberleri.com.az development and popular sports Azerbaijan is a country with rich sports traditions and outstanding achievements on the international stage.

  39. UFC in Azerbaijan https://ufc.com.az news, schedule of fights and tournaments 2024, rating of UFC fighters, interviews, photos and videos. Live broadcasts and broadcasts of tournaments, statistics.

  40. Top sports news https://idman-azerbaycan.com.az photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  41. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  42. https://santekhnik-moskva.blogspot.com — вызов сантехника на дом в Москве и Московской области в удобное для вас время.

  43. Сантехник — вызов сантехника на дом в Москве и Московской области в удобное для вас время.

  44. Latest news about games for Android https://android-games.com.az, reviews and daily updates. Read now and get the latest information on the most exciting games

  45. Хотите сделать в квартире ремонт? Тогда советуем вам посетить сайт https://stroyka-gid.ru, где вы найдете всю необходимую информацию по строительству и ремонту.

  46. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  47. Pin Up Casino https://pin-up.noko39.ru Registration and Login to the Official Pin Up Website. thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino. Come play and get big bonuses from the Pinup brand today

  48. Смотрите онлайн сериал Отчаянные домохозяйки https://domohozyayki-serial.ru в хорошем качестве HD 720 бесплатно, рейтинг сериала: 8.058, режиссер сериала: Дэвид Гроссман, Ларри Шоу, Дэвид Уоррен.

  49. Изготовление памятников и надгробий https://uralmegalit.ru по низким ценам. Собственное производство. Высокое качество, широкий ассортимент, скидки, установка.

  50. Pin-up casino https://pin-up.jes-design.ru популярное онлайн-казино и ставки на спорт. Официальный сайт казино для доступа к играм и другим функциям казино для игры на деньги.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *