Jumla ya Euro milioni 140 zimetengwa ili kuwanufaisha wakulima wa mazao ya korosho na mahindi katika mpango maalum wa kutoa mikopo,kujenga uwezo katika uzalishaji,masoko,uwekezaji na kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao hayo kwa wakulima wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific jambo litakalosaidia kupunguza umasikini na njaa katika nchi hizo. Akizungumza …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 7, 2019
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AKAGUA UJENZI WA MRADI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA ZIWA, ILIYOPO MUSOMA, MKOANI MARA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA SHULE YA MSINGI ALIYESOMA MWALIMU JULIUS NYERERE
UJENZI MRADI WA UMEME RUSUMO WAFIKIA ASILIMIA 59
Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa maji (megawati 80) wa Rusumo, unaotekelezwa kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda, umefikia asilimia 59 kutoka 32 iliyokuwa imefikiwa Juni mwaka huu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti (aliyemaliza muda wake) wa Mawaziri wanaohusika na Mradi huo kutoka nchi husika, ambaye ni …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI LENYE UREFU WA KM 3.2
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 na upana wa mita 28.45 ambalo litakalounganisha mawasiliano ya barabara kati ya Mikoa ya Mwanza na Geita kukatiza Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi zimefanyika katika …
Soma zaidi »