WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA ABIRIA, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa ramani ya jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, kabla ya kuweka jiwe la msingi, Desemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, Desemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AMPONGEZA BONDIA SALIM MTANGO ALIYESHINDA MKANDA WA DUNIA WA UBO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *