MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
2-01
Baadhi ya Wauguzi Jijini Mwanza wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
3-01
Baadhi ya Viongozi na Wananchi Jijini Mwanza wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
4-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.