WANACHAMA WA TANZANIA TOUR OPERATORS ASSOCIATION WAKUTANA ARUSHA KUPANGA MIKAKATI YA KUVUTIA WATALII KUTOKA CHINA.

C1-01
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Nchini Bi Devotha Mdachi akizungumza katika mkutano wa Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO)  Jijini Arusha
C2-01
Balozi wa Tanzania nchini China  Mbelwa Kairuki akizungumza katika mkutano wa Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO)  Jijini Arusha
  • Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO) wakutana Jijini Arusha kupanga mikakati ya kuvutia watalii kutoka China. Mkutano huo umehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini China  Mbelwa Kairuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini(TTB) Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa TTB Bi Devotha Mdachi
Ad

Unaweza kuangalia pia

ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *