Wananchi washangilia, waishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma CHANGAMOTO ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama iliyokuwa inawakabili wananchi wa vijiji vya Nandagala ‘B’ na Ingawali wilayani Ruangwa imekuwa historia baada ya Ubalozi wa Uturiki kupitia taasisi yake ya Diyanet kuwachimbia visima virefu. Visima hivyo viwili vimekabidhiwa kwa Waziri …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
WANANCHI CHIBOLI KUFURAHIA SIKUKUU YA EID EL-FITR NA UMEME
Wananchi katika Kijiji cha Chiboli wilayani Chamwino, Jimbo la Mtera, watasherehekea sikukuu ya Eid El-fitr wakiwa na umeme kwa mara ya kwanza, baada ya Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu kuwasha umeme katika Kijiji hicho. Akiwa ameambatana Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Vumilia Nyamoga, …
Soma zaidi »WAZIRI MAKAMBA ARIDHISHWA NA KASI YA UZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba amefanya ziara ya kikazi ya kukagua viwanda vinavyozalisha mifuko mbadala ikiwa ni siku ya nne tangu kuanza kwa utekelezaji wa Sheria ya Marufuku ya Mifuko ya Plastiki nchini. Akiwa katika Kiwanda Cha African Paper Bag Ltd …
Soma zaidi »BAKITA YATAMBUA VITUO VYA KUFUNDISHA KISWAHILI NA UTAMADUNI NDANI NA NJE YA NCHI
BODI YA MIKOPO, YATANGAZA SIFA NA UTARATIBU WA KUOMBA MIKOPO KWA 2019-2020
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 unaotaja sifa, vigezo na utaratibu wa kuwasilisha maombi ya mikopo ya elimu ya juu na kuwasihi waombaji mikopo watarajiwa kuusoma kwa makini na kuuzingatia. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq Badru …
Soma zaidi »WAZIRI BITEKO AKUTANA NA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA NGWENA
Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na Mwekezaji wa Kampuni ya Ngwena Tanzania Ltd “Ngwena” na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali, kubwa likiwa ni kutoa Ufafanuzi kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Madini inavyotoa fursa na mazingira mazuri ya uwekezaji katika sekta ya madini hapa nchini. Hatua hiyo inafuatia ombi …
Soma zaidi »TAASISI ZA FEDHA ZATAKIWA KUCHANGAMKIA VIWANDA VYA USINDIKAJI MAZIWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo,Profesa Elisante Ole Gabriel amezitaka taasisi za fedha nchini kuchangamkia fursa ya soko la usindikaji wa maziwa ambalo linahitaji uwekezaji wa kimkakati kutokana na sehemu ndogo ya maziwa yanayotoka kwa wafugaji ndiyo yanayosindikwa. Profesa Ole Gabriel ametoa rai hiyo katika kongamano la 10 la Wiki …
Soma zaidi »RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKY NCHINI TANZANIA NA UJUMBE WAKE IKULU ZANZIBAR
CRDB BENKI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWEZESHA MITAJI KWA WAJASIRIAMALI VIJANA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Majid Nsekela ameipongeza Serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Watanzania na hivyo katika kuunga mkono juhudi za serikali Benki ya CRDB ipo tayari kushirikiana na …
Soma zaidi »