RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.(Picha na Ikulu)
RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKY NCHINI TANZANIA NA UJUMBE WAKE IKULU ZANZIBAR
Matokeo ChanyA+
June 3, 2019
Taarifa Vyombo vya Habari , Taarifa ya Habari , Tanzania MpyA+ , ZANZIBAR
609 Imeonekana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan, Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan, Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan ya Uturuki Bwa. Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Ad
Unaweza kuangalia pia
Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …