Maktaba ya Mwaka: 2019

TUONGEZE JUHUDI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA – RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE

Rais Mstaafu, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi yake kama mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End malaria Council) alialikwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha 20 cha mawaziri wa afya wa shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika magharibi – ECOWAS. Kikao hicho kiliendeshwa chini ya chombo maalum …

Soma zaidi »

UJERUMANI YATOA MSAADA WA SH. BILIONI 330 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI MKOA WA SIMIYU

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya  Maendeleo (KfW), imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 127.7, sawa na sh. bilioni 330, kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria katika mkoa wa Simiyu. Makubaliano ya msaada huo kupitia …

Soma zaidi »

LIVE:RAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MAKTABA YA CHUO CHA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli  anaendelea na ziara  ya kikazi mkoani mbeya ambapo leo ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa maktaba katika chuo kikuu cha Teknolojia Mbeya pamoja na kuzindua upanuzi wa Kiwanda cha Mbeya CEMENT. Katika uzinduzi huo wapo viongozi mbalimbali wa …

Soma zaidi »

WAKAZI WA MOROGORO WARIDHIA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA SUKARI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameridhika na uwekezaji wa kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari katika kata ya Mvuha iliyopo Morogoro Vijijini ambapo kampuni ya Morogoro Sugar inataraji kuwekeza. Akizungumza wakati wa mkutano wa Madiwani na Wenyeviti wa Vijiji tisa vilivyopo …

Soma zaidi »