- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli anaendelea na ziara ya kikazi mkoani mbeya ambapo leo ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa maktaba katika chuo kikuu cha Teknolojia Mbeya pamoja na kuzindua upanuzi wa Kiwanda cha Mbeya CEMENT.
- Katika uzinduzi huo wapo viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako, Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Elias Kwandikwa na Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga.